EL; RA & AC Wamtunishia Misuli JK: Wagoma Kujibu Barua

Subiri kidogo Mkuu.

Nafanya compillation.

Wanaoona ni Riwaya ya Abunuwasi wanaweza tafuta thread zingine . . . LOL

Mkuu, Superman!

Endelea kutujuza sie tunaothamini mchango wako, kama ulivyosema hakuna mtu ana lazimishwa kusoma hii thread anaweza kwenda kwingine tena FB huko kuna options nyingi za kupoteza muda.

Hapa JF ni umakini wa taarifa unaotufumbua akili na kutupa upeo wa kufahamu mambo mbalimbali yanayotuzunguka pasipo kusubiria hadithi za kijiweni.
 
Wakuu data kamili za hicho kishindo cha RACHEL tutazipata kesho lakini kwa kweli kuna hatari kubwa sana juu ya JK na CCM Kupasuka. Pona ya JK ni kama tu RACHEL wataamua wakae kimya na wasiseme kitu, lakini hii pia ina maana na wasifukuzwe CCM.

Kinacholeta tabu ni kasi ya huyu dogo Nape na Captain kuwapaka RACHEL. Hii inazidi kumfanya JK awe katika nafasi ngumu. Hata hivyo kama JK amedhamiria kweli na kutumia kofia zote za Chama na Serikali, basi hakuna kidume cha kufurukuta.
 
Kama inavyokubalika; JK aliambiwa na kushauriwa vizuri toka 210 wakati wa uchaguzi awatose jamaa lakini hakutaka kusikia ushauri wa kutowakumbatia hawa jamaa.

habari nyingine zinasema hata hii juzi baada ya kuona chama kinaenda mrama ndipo akaamua kuwatosa hawa watu tena kwa kupitia kwa Mwana Intelligensia na Brain Power ya CCM inayoaaminika AK47 (Abdulhamani Kinana). Baadhi wanasema ulikuwa ni Uamuzi wa JK kwa ajili ya msukumo fulani (Upi?) wengine wanasema haikuwa maamuzi yake yeye bali Wastaafu na the Real Mafia wa CCM (AK47) ambaye hata katika kamati ya kuchunguza mpasuko wa Wabunge wa CCM alitaka watoswe.
 
Usiku ule wa kikao cha CC Dodoma, iko maneno kuwa Zakia Meghi (ZM) alimtuhumu RA kuwa ni Mwizi Mkubwa na RA akamwambia ZM baada ya kikao: ''You Have Won Here But the Battle is Not Over''. Mambo ya kiburi ya pesa hayo.
 
Jamani wapiganaji hii chance tusije tukachezea nimuda wa kujipanga na tuwe na mikakati yakinifu ili tuweze kuwaondoa awa jamaa. Tukishidwa kuindoa CCM 2015 atutakaa tuweze kuwaondoa tena. This is right time Peoplesssss Power!!!!!
 
Inadaiwa kuwa huko nyuma 2005 ZM amewahi kuwa na "Uhusiano Mzuri" (Mwenye masikio haambiwi sikia) na RA na hawakudumu sana wakaachana. Baada ya hapo ZM akawa karibu na Mkuu wa Kaya hasa baada ya Mkuu wa Kaya kudaiwa kuwa na "Uhusiano Mzuri" na Mtoto wa ZM. Sasa piga picha niaje ZM amepewa tena post CC mbali na tuhuma zake za kuhusishwa na madudu ya EPA.
 
Kwa sasa Opposition Parties wakishindwa kutumia mwanya huu kukisambaratisha Chama Cha Magamba hakika itawachukua muda tena kupata nafasi hiyo hasa kama CCM wakiamua kwa dhati kujijenga upya.

Kwa sasa CCM imeyumba na watu wako mafungu mafungu mle katika Chama. Mwenye macho haambiwi tazama.

Rev. Masa na Quinine Mpo?
 
Superman, kama hii ni kweli waache tu waparurane maana hili labda litatuwezesha Watanzania kuzijua siri nyingi za mafisadi na lile kundi maarufu la mtandao na yote yaliyojiri tangu 2005 hadi sasa na si ajabu ikawa chanzo cha kusambaratika CCM na hatimaye kuiletea nchi yetu ahueni.
 
Sanaa full magumashi tusubirini kutawaliwa na jeshi 2015 maana hadi kufika huko huenda tusiwe na uchaguzi wagombea wote wezi
 
Inadaiwa kuwa huko nyuma 2005 ZM amewahi kuwa na "Uhusiano Mzuri" (Mwenye masikio haambiwi sikia) na RA na hawakudumu sana wakaachana. Baada ya hapo ZM akawa karibu na Mkuu wa Kaya hasa baada ya Mkuu wa Kaya kudaiwa kuwa na "Uhusiano Mzuri" na Mtoto wa ZM. Sasa piga picha niaje ZM amepewa tena post CC mbali na tuhuma zake za kuhusishwa na madudu ya EPA.

Hii kweli ni riwaya ya Shigongo jinsi wachezaji wanavyopanga bila hata na kuwa na evidence yo yote ile. Mara ZM na RA, mara mtoto wa ZM na JK, na haya ya EPA hata huyo ZM hakuwa fedha katika kipindi hicho. Alimradi ni kuunganisha hadithi inayopendezesha masikio ya WTZ na kuifanya kuwa soap opera design ya Isidingo.
 
asante kwa taarifa mkuu wa kaya, endelea kutujuza

Wakuu wa JF, iko hivi:

Inasemekana kuna bomu litalipuka siku si nyingi toka kwa hawa kina RACHEL. Sasa Mzee wa Kaya anajaribu kwa kila hali kuwa karibu na EL ili kumaliza tofauti. This remains to be seen. Maana habari nyingine zinasema Wakulu Wastaafu (Mzee Ruksa & Mzee wa Uwazi na Ukweli) wamemwambia Mkuu wa kaya awatose (Mzimu wa Mwalimu bado unaishi).

Mistake aliyoifanya JK ni mwaka jana wakati wa kampeni . . . . ilikuwa awatose huko lakini sasa ni ngumu. Sasa leo anawatumia akina Nape; Chiligati na Mukama waseme ili kusudi yeye asionekane mbaya kwa hawa kina RACHEL. Pia kuna nyeti zinasema Mkuu wa Kaya yuko radhi kumtosa AC wakati wowote lakini kwa kuwa amejipachika kwa hawa jamaa wawili inakuwa ngumu.

Mzee Mzima aliambiwa wakati wa Richmond kuwa hii kampuni sio Genuine na akapewa data zote lakini EL akaenda kwa haraka sana kumsakizia Msabaha kwa sababu kuwa anacheewasha mchakato na akaingia Mkenge. JK bila hiana akamuondoa Msabaha kwenye Wizara

Kwenye EPA mpaka sasa Mkkulu amekalia Mafile mezani kwake hajayafanyia kazi na data za wezi wote anazo.

Kesi ya ex-Balozi wa Italy Prof. Mahalu inasemekana ni visa binafsi na uwezekano ni mkubwa kwa prof kushinda ile kesi.

Katika mazingira hayo, definetely hii ni Ngoma ya Kikubwa ambayo mkuu wa Kaya inabidi aicheze vizuri.

All in all kama ana nia ya kweli bado uwezo wa kushinda anao in any way.

Peace and Love.

Respect.
 
Kama inavyokubalika; JK aliambiwa na kushauriwa vizuri toka 210 wakati wa uchaguzi awatose jamaa lakini hakutaka kusikia ushauri wa kutowakumbatia hawa jamaa.

habari nyingine zinasema hata hii juzi baada ya kuona chama kinaenda mrama ndipo akaamua kuwatosa hawa watu tena kwa kupitia kwa Mwana Intelligensia na Brain Power ya CCM inayoaaminika AK47 (Abdulhamani Kinana). Baadhi wanasema ulikuwa ni Uamuzi wa JK kwa ajili ya msukumo fulani (Upi?) wengine wanasema haikuwa maamuzi yake yeye bali Wastaafu na the Real Mafia wa CCM (AK47) ambaye hata katika kamati ya kuchunguza mpasuko wa Wabunge wa CCM alitaka watoswe.

Superman, huyu jamaa (jina kwenye mstari), inavyosemekana ni swahiba mkubwa sana wa EL na wana ties za siku nyingi tangia Arusha wakati wakiwa hawana dhamana kubwa ndani ya CCM. Je urafiki wao uliisha lini? Vyanzo vyako vinakuambia nini kuhusu hili? Ndio kuna possibilities za AK 47 ku switch kambi na kuwa mtu wa karibu na JK kutokana na yeye ku ran kampeni yake ya uraisi. If this really happened kule Dodoma basi kuna developing stori nyingine hapa ya Lowassa kumpoteza kamanda wake wa muda mrefu mwenye influence ndani ya CCM..meaning Kinana.
 
kumekucha...mwanzo wa mwisho wa ccm na mwanzo wa nchi yetu kurudi kunakostahili kuwa. Mungu Ibariki Tanzania (Tanganyika?)
 
Hii kweli ni riwaya ya Shigongo jinsi wachezaji wanavyopanga bila hata na kuwa na evidence yo yote ile. Mara ZM na RA, mara mtoto wa ZM na JK, na haya ya EPA hata huyo ZM hakuwa fedha katika kipindi hicho. Alimradi ni kuunganisha hadithi inayopendezesha masikio ya WTZ na kuifanya kuwa soap opera design ya Isidingo.

Mkuu huelewi kwa nini JK alifanya reshuffle ya Cabinet na kumtosa ZM?

Huelewi ni kipi ZM kwa kinywa chake alikiri juu ya uzembe alioufanya? Scan some past threads hapa utapata details.

Umeshaambiwa Mwenye Masikio haambiwi sikia. Time will tell. Soon. and very soon.
 
Inadaiwa kuwa huko nyuma 2005 ZM amewahi kuwa na "Uhusiano Mzurii" (Mwenye masikio haambiwi sikia) na RA na hawakudumu sana wakaachana. Baada ya hapo ZM akawa karibu na Mkuu wa Kaya hasa baada ya Mkuu wa Kaya kudaiwa kuwa na "Uhusiano Mzuri" na Mtoto wa ZM. Sasa piga picha niaje ZM amepewa tena post CC mbali na tuhuma zake za kuhusishwa na madudu ya EPA.

Superman hapo nilipoweka bold sijaelewa Vizuri, ina maana RA alikuwa na uhusiano wa Kimapenzi na ZM, au ni uhusiano upi hasa?
 
Superman, huyu jamaa (jina kwenye mstari), inavyosemekana ni swahiba mkubwa sana wa EL na wana ties za siku nyingi tangia Arusha wakati wakiwa hawana dhamana kubwa ndani ya CCM. Je urafiki wao uliisha lini? Vyanzo vyako vinakuambia nini kuhusu hili? Ndio kuna possibilities za AK 47 ku switch kambi na kuwa mtu wa karibu na JK kutokana na yeye ku ran kampeni yake ya uraisi. If this really happened kule Dodoma basi kuna developing stori nyingine hapa ya Lowassa kumpoteza kamanda wake wa muda mrefu mwenye influence ndani ya CCM..meaning Kinana.

Mkuu;

Katika ile report ya Mzee Mwinyi ambayo Msekwa na Kinana; AK47 alitaka Mafisadi watoswe. Piusi Msekwa aka PM alitaka wabaki. Hawakufukuzwa. Sasa hivi katika CC iliyomalizika PM aliwataja Mafisadi kwa majina na AK47 ndiye aliyetoa wazo CC yote ijiuzulu.

AK47 alikuwa walikuwa na JK jeshini na ndiko walikofahamiana na yeye ndiye aliwakutanisha JK na EL. AK47 ana makazi Arusha ambako inawezekana ndiko alikokutana na EL akiwa pale AICC.

Kuhusu Maandamano ni kweli kuna watu wanaomuunga mkono EL ambao wal wanataka waandamane na kuonyesha wako nae bega kwa bega. Yeye binafsi EL anadaiwa kusema anajiweka sawa kujibu mapigo.

Hao wanaotaka kuandamana amewalipa shilingi ngapi ili wamsaidie. MCHUNGAJI KWELI HII IMEKAA KISHIGONGOSHIGONGO VILE!
 
hap JF usi- undermine stori yoyote kama huna uhakika ,mwezi wa kwanza kuna mtu alileta tetesi kuwa mukama anaandaliwa na ccm wengine walipinga lakini badae tukaja kushangaa kuwa ni kweli , so guys JF is here to give you every hot news
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom