Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
1.Eneo lipo nala kibaoni dodoma mjini
2.Linauzwa kama shamba ila laweza tumika kwa makazi ama shughuli nyingine kutokana na mahitaji ya mnunuzi
3.Lina hati ya kijiji(serekali ya mtaa)
4.halijapimwa,na ndio maana tumeshusha bei kukusaidia katika kulipima
5.umbali toka town centre ni kama kilomita 12/13
6.umbali toka barabara kuu iendayo singida/mwanza/tabora ni kama kilomita 2/2.5
7.Bei ya ekari moja ni milioni 1.6
8.Kwa mawasiliano zaidi 0767833496
Karibuni sana