Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Wacha kutazama K mana ukisha itazama sana inakutia aibu,..wewe chomeka kama vile kipofu, afu chochea ukiona unakaribia kufika kabla ya mwenzako slow down, mpaa akuambie nimeisha fika na wewe jitahidi ufike :A S shade:

Hivi na kale kajoto na kautelezitelezi inawezekana kweli hiyo?. Mie nnachofanyaga ni kuliacha hilo la kwanza lijitokee tuu lenyewe ila huwa sifanyi kosa, hapohapo naunga juu kwa juu kulitafuta la pili. Huwa hakawii kusema tayari ameshafika nishuke atakosa pumzi!
 
hili ni tatizo mtambuka..hivyo kuna nasaha nyingi zimeshatolewa kukabiliana nalo. lkn nasaha ya ukweli kuliko zote, jifunze kamchezo ka BK (katerero).. ukishajua jinsi ya kucheza hiyo BK wakati wa tukio mwenyewe utakubali...nawapa big-up watu wa BK manake bila kaufundi kao, ndoa nyingi zingalikuwa zinachezewa 'offside'
 
...hiyo BK (KATERERO)....yachezwaje... Kuwa wa msaada zaidi...
Otherwise waonekana mzushi...
 
The Finest, mimi napingana na wewe hapa...Hebu jaribu kugonga konyagi za kutosha halafu uingie kwenye game uone!!

Kwa wewe upo kwenye mkondo wa wanaotumia viagra na madawa mengine
kumbuka pombe ndi chanzo cha haya mambo mwisho wa siku! Sasa ikianza kukukataa utatumia nini ???
 
Last edited by a moderator:
1.Mwanamme wa kawaida inamchukua dakika 2 mpaka 5 kufika kileleni(1st score)
2.Mwanamke wa kawaida inamchukua dakika 15 mpaka 20 kufika orgasm.

Ukiona m/me anaenda zaidi ya 20 ujue anataka amridhishe mke/gf wake that sit,kama ana ngunga za kutosha haifiki dakika 3,Usidanganyike kula midawa ya ajabu ndio itakuja kukumaliza kabisa hyo,fanya mazoezi kwa ajili ya pumzi,fanye kergel exercise kwa ajili ya stamina ya dushelele,vyakula vya mifuta mingi acha,kunywa maji ya kutosha,pumzika vizuri kulala,kula matunda sana water melon(tikiti maji) etc
 
Mimi naweza kusema siyooo!
Kwa sa7bu naelekea kulimaliza tatzo hili!
Maherberist wamecomfirm kuwa hakuna gonjwa lisilo pona kwa chakula na matunda!
Kwa upande wangu nafanya mazoezi, maji mengi ya kunywa,vyakura asilia na matunda na mboga mboga za kijani nyama nilicha kula sembe stumii na vtu ya sukar stumiii nna maana bskut,soda,keki! Nyama ya samaki na kuku full stop!
Kifup nimekuwa vegeterian!
tumia na matiki wanadai kuwa ni "natural viagra"
 
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.

umenielewa ushauri wangu
 
Ukimuacha tunamchukua tunampaka pilipili na tangawizi atatufaa kweli!!
Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
ukimuacha tunamchukua tunaipaka pilipili na tangawizi inakuwa bye
 
WaliNazi, nadhani watu wameweka standars za mahaba so high kiasi kwamba wanaume wangi wanajikuta below standards wakati it is just normal. Do you know the average sexual intercourse is only 2 min 54 seconds (goal la kwanza)?
Sasa kabla hujapewa msaada please reassess your performance and let us know kama uko chini sana ya hapo. Kumbuka, prematurity is not a matter of how long you hold on before you come, but whether you are able to control the way you do na zaidi whether she is happy that you come at that time (My own definition)

2 minutes! Labda 2 times 5 lol!
 
Back
Top Bottom