Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Nani kakudanganya? Zile Blue print X. Wanaedit ndo itaona jamaa kachukua saa nzima bila kukojoa
Ww ukutane na mashine ya kibantu imewekewa shabu hailowi ukipump haiingii ni kichwa tu humalizi dk 2 unashusha mzigo njiani

Duh kumbe kuna shabu????????
 
Listen tatizo hilo linaitwa PE yani pre mature ejaculation. Ni tatizo la kawaida sana kwa wanaume japo hawatasema humu kwenye jamvi. Tatizo hili huwa ni kubwa hata kufikia sekunde 30 tu mzigo tayari. Kwako izo dk tano ni fair kabisa ila nmeelewa anashindwa kuendelea kwa sababu zifuatazo.
Kusmamisha ni swala la kisaikolojia. Nnahis anakua anaogopa utamchkulia tofauti kama kazi hawezi afu anakua tooo desperate kukukomesha na iyo ndo inaharibu kabisa.
Dawa ya ilo tatizo ni wewe mwanamke kabla hata ya yeye, mfanye arelax afu usioneshe kuchukizwa wala kulaumu ndo unazidi kumharibu. Akikuzoea akaacha pupa unaeza ata ukachoka hajapata chochote.
uneza kuni PM ntakwambia zaidi
 
Duuuuuhhh
Nilikuwa na tatizo hilo.....
Tukawa tunagombana na she ile mbaya, tena ananuna.

Nikakutana na hom boy imma, anapga usku kucha anakojoa moja, akanipa mbinu!!!!!!

Sasa nawapga tobo, saa moja ye anakojoa mara tano mm niko SINGO
 
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
@shee leo Wasilianana mimi nitalimaliza hilo tatizo la mpenzi wako kutokuridhisha wewe bonyeza hapa usome https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html
 
Wengine tunafanya sex only for reproduction purpose not otherwise..

Mmh! Ni binadamu na Dolphin ndio viumbe pekee wanaofanya sex kwa ajili ya reproduction purpose na pleasure. So kama wewe una repr. tu, basi upewe hongera.
 
kukimbia tatizo ni suluhu ya tatizo? jaribu uone utakuja kutana na wa masaa mawili naye utamuacha.!!!!!!!! ha ha ha ha ha
Ukimwacha kama mwanamke utakuwa umeshindwa. Wanawake Mnasifika kwa ushawishi mkubwa sasa wewe mbona unakata tamaa mapema namna hiyo?
 
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.

tyari mmesha oana. na kama mkiachana mtakuwa wazinzi. shahidi wa ndo yenu ni MUNGU, na wengine ni sisi member wa JF. Ndoa ni tendo la ndoa, kama limeshafanyika, usitegee ndoa nyingine, ulichobakiza ni kutambulishana kwa wazazi wenu tu basi.

halafu, umefanya naye mara ngapi? na baada ya kufika kileleni, mkirudia tena kwa wakati huo, mda unapungua au unaongezeka?

Mwanamme kama ni mgeni kwenye mapenzi hali hiyo ni kawaida kwake, kwani anakuwa na hisia zilizozama. na inatokea hivyo kwa kuwa amekukubali, anakupenda kwa moyo wote.

Unachotakiwa kukifanya, siyo kumwacha na kutafuta kuzini na mwingine, mpe uloda wako kwa mda mrefu. kwa mfano, kama mnafanya kazi, mnaweza kuomba rikizo fupi, halafu mpatane mwende mkoa wa jirani, muamue kukaa kama mke na mke ndani ya hotel, kwa hiyo kila akipandisha unampa, nakwambia akifanya mfululizo kwa siku tatu, siku ya nne akifanya lazima atachelewa.

anawahi kwa kuwa huwa anakupata kipenzi chake cha moyo kwa nadra sana, thus anakuwa na hamu sana na wewe
 
Shee Leo, Ebu niPM, tukubaliane kufanya practical kabisa then utaenda kumuelekeza jamaa yako namna anavyotakiwa kufanya ili akufikishe. Angalizo: Usining'ang'anie manke ntakupa doze ya ukweli.

Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.
 
Wanabodi, hivi mwanaume akimudu kwenda kwa muda gani ndio inachukuliwa kwamba ni kawaida?
 
Kwani mapenzi ni kufanya sex peke yake..Kuna vitu vingi kwenye mapenzi. Siyo lazima kufanya sex. Kwangu mimi sex ni cha karibia na mwisho.
Ningekuwa mimi huyo jamaa ningeshakupiga chini coz kwa upande wako mapenzi is all about doing sex..what if you enjoy sex na mtu hakujali, hakupi maendeleo, fukara etc. Kama unapenda sex kwangu usije wala ucni-PM

Unaonekana bado hujakolezwa wewe, sex ndo stamina ya upendo kwa anaejua utamu wa huu mchezo.
 
Mhhhh....kama jamaa anakuandaa vizuri kabisa na wewe una feelings naye hata hizo dakika tano zatosha kukukojoza,ila kama vipi kitu cha konyagi mambo yote.Hakikisha unamfeel ila kama unalala naye tu kumfurahisha au ili upate namna ya kutafuna pesa zake hata akae hapo lisaa hautafika.
 
Hafiki dakika nane? Vijana mna kazi kweli. Inamaana wakati anasokomeza we macho yako yako kwenye saa. To me dakika nane naweza mkojolesha mwanamke raundi mbili... Maandalizi na maufundi tu mama. Afu mwambie aache kupiga punyeto.
Duh we Aspirin maneno makala km shubiri,lol!!ila umenichekesha sana kuhusu kuangalia saa wakati unashughulikiwa hahaaaa!!
 
Kwani mapenzi ni kufanya sex peke yake..Kuna vitu vingi kwenye mapenzi. Siyo lazima kufanya sex. Kwangu mimi sex ni cha karibia na mwisho.
Ningekuwa mimi huyo jamaa ningeshakupiga chini coz kwa upande wako mapenzi is all about doing sex..what if you enjoy sex na mtu hakujali, hakupi maendeleo, fukara etc. Kama unapenda sex kwangu usije wala ucni-PM

kwani THE FINAL STAGE OF LOVE IS WHAT?!
 
Nashukuruni kwa walitoa ushauri,matusi,vijembe n.k lakini mim sijatakeketwa tatizo yy hataki umwambie hujaridhika baada ya hilo goli moja...
 
Back
Top Bottom