Mnaamini hiki kitu kama mimi?
Kuwa ukikuta mwanamke kafanikiwa saana, its either aliolewa halafu akaachwa, au mume alifariki, ama hajawahi kuolewa kabisa, ama mali za mume wake.
It's very rare case kukuta mwanamke tajiri halafu mume wake normal tu.
������