Sikukuu njema kwako na familia pia Dr.Wasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
View attachment 3290043
Waziri anashughulika na mambo ya jamii, jinsia na wanawake. Hivyo lazima tumwambie kataa ndoa mnataka kuharibu jamii..!!Kataa ndoa wameingiaje hapa
We nawe Kwender wa kuoa utakuwa wewe? 😏😹
Mkuu msamehe ili muyajenge uchukue chombo hicho tule harusi wanaJF, na Mama Waziri awe mgeni rasmi ili apige msumali vizuri kwa team kataa ndoa, yeye ni mfano mzuri wa kuiga.Sawa 🙏🏾
Naona umeamua kunizodoa mbele ya Mheshimiwa Mama Waziri, ningekuzodoa Mimi mbio ungeenda dawati la maendeleo, jinsia, wanawake na watoto kushtaki. Na wakati nimejitahidi kuonesha Nia njema kabisa.
Endelea kudharau usiowajua. Najua confidence zote hizo kisa Mama Waziri yupo hapa. Sawa 😭👍🏾
Mh. Huyu ndiyo yule mlikuwa mnapiga naye nyungu enzi zileee?😁😁Wasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
View attachment 3290043
Lamomy Dkt. Gwajima D 🥺Mkuu msamehe ili muyajenge uchukue chombo hicho tule harusi wanaJF, na Mama Waziri awe mgeni rasmi ili apige msumali vizuri kwa team kataa ndoa, yeye ni mfano mzuri wa kuiga.
Mama Dkt. Gwajima D Asante kwa mualiko, ila me nina njaa. Tena siyo ya ubwabwaWasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Download memory yako, au imezidiwa mambo....😥Mh. Huyu ndiyo yule mlikuwa mnapiga naye nyungu enzi zileee?😁😁
0765345777 andika ujumbe tafadhaliMama nahitaji namba Yako unisaidie ushauri na kutatua changomota yangu.ni kama nimedhulumiwa pesa ya mahali,
Mama unazingua sasa, mbona hamjavaa swimming costumes na bikini?Wasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
View attachment 3290043
RAM imejaa😅😅😅Download memory yako, au imezidiwa mambo....😥
👋👋👋 Tuendelee kushirikiana.....RAM imejaa😅😅😅
Ila mnapendeza sana Madam na Inlike the way you feel proud of him...unatufundisha sisi wengine kuwapenda sana wenzi wetu. Hongera sanaaa👏🏿👏🏿👏🏿
HaswaaaNakuona mama yangu uko na baby mna bebishana
Kuna mwongozo kwani wa ukitembelea beach ufanye nini?Mama unazingua sasa, mbona hamjavaa swimming costumes na bikini?
Mawaziri wote wangekuwa simple kama wewe nchi yetu ingekuwa pahala pazuri sana,, hongera mh,, msalimie sana mzeeWasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima..
View attachment 3290043
Woow❤️Wasaalam rafiki yetu....