Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,658
- 7,092
Mama Waziri akinijibu tu comment yangu, nakuja DM chap tuyajenge na nakuchumbia. Naachana na wale wahuni…, yaani nasaliti kabisa kile chama Chetu cha Kataa ndoa 😌😌😌Kwahiyo namzidi kaka Luca na tlaatlaah 😹😹😹
Mimi nataka atusaidie kataa ndoa hamtaki kutuoa nia yenu tuharibu jamii au?
Huyu waziri yuko vizuri sema sikumuelewa kipindi cha jiwe alipokuwa wizara ya afya…!!Enjoy Mama
Days are numbered only 3 months left in red carpet get well prepared
This time Election no favor
😅Saaafi.... Eid Mubarak.......
Usijali kwani ni hatari sana kueleweka na watu wote wakati mmoja..... Eid Mubarak kwako, karibu Kawe Beach ⛱️ ⛱️ ⛱️Huyu waziri yuko vizuri sema sikumuelewa kipindi cha jiwe alipokuwa wizara ya afya…!!
Hiyo na ndoa ya mkeka ina utofauti gani? 😹😹Mama Waziri akinijibu tu comment yangu, nakuja DM chap tuyajenge na nakuchumbia. Naachana na wale wahuni…, yaani nasaliti kabisa kile chama Chetu cha Kataa ndoa 😌😌😌
Same.... Shimboni huko.... Au nimekosea salaam jamani , nifundishe...... Eid Mubarak kwenu wote huko👋Mama yetu Dkt. Gwajima D hakika unamtetendea haki aliyekuteuwa salamu nyingi Toka hapa Same Moshi Moshi Kilimanjaro.
Eid Mubarak kwako na familia nzima!Wasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Don't trust politiciansHuyu waziri yuko vizuri sema sikumuelewa kipindi cha jiwe alipokuwa wizara ya afya…!!
Hivi mama ina maana unapokea mtonyo wa daktari na mbunge na waziri? just asking.Wivu tu, kwani awali nilikuwa nafanya kazi gani😄 Eid Mubarak
Kulikoni jamani mbona tena vuta nikuvuteMama Waziri akinijibu tu comment yangu, nakuja DM chap tuyajenge na nakuchumbia. Naachana na wale wahuni…, yaani nasaliti kabisa kile chama Chetu cha Kataa ndoa 😌😌😌
Kweli mama mimi huwa msema kweli, kwa professional yako na ile issue ya Covid-19 ulizingua..!! Ila ss hivi awww mitano tena unafanya vizuri sana na umekuwa karibu sana na wananchi..!! Kongole 🫡Usijali kwani ni hatari sana kueleweka na watu wote wakati mmoja..... Eid Mubarak kwako, karibu Kawe Beach ⛱️ ⛱️ ⛱️
🤣Mutu ya kisesa mwanza... Salaam zimefika wabéjaSafi sana,msalimu msukuma mwenzangu.
Omba Mama waziri aseme chochote, na yeye kajikausha kimya 😌😂Hiyo na ndoa ya mkeka ina utofauti gani? 😹😹
Hongera good family , good couple and good leaderWasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoni🥰, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... 🤣 Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Sasa Baraza la tiba asili lilikuwa na kazi Gani kwani jamani.... Mwenyekiti ni professor anateuliwa na Rais na wajumbe wasomi kabisa na Sasa wameteuliwa tena na ni kwa mujibu wa sheria na sawa zilikuwa zinasaidia tu kama panado inavyosaidia haiponyi na zimesajiliwa na Baraza kupitia kwa mkemia mkuu wa serikali.... Sasa hapo ni uelewa au basi tu kisa mimi...Kweli mama mimi huwa msema kweli, kwa professional yako na ile issue ya Covid-19 ulizingua..!! Ila ss hivi awww mitano tena unafanya vizuri sana na umekuwa karibu sana na wananchi..!! Kongole 🫡
Naomba ufungue PM yako 🥺Kweli mama mimi huwa msema kweli, kwa professional yako na ile issue ya Covid-19 ulizingua..!! Ila ss hivi awww mitano tena unafanya vizuri sana na umekuwa karibu sana na wananchi..!! Kongole 🫡