Eid el adhaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eid el adhaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by babayah67, Nov 1, 2011.

 1. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wakuu Naomba kuuliza Ni lini itakuwa sikukuu ya Eid al hadji kwa hapa kwetu TZ kwa mujibu wa Bakwata??? Najua wale wengine itakuwa Jumapili
   
 2. L

  Leliro Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wameuona mwezi?
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,012
  Likes Received: 3,197
  Trophy Points: 280
  Ni kitu gani icho?
   
 4. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iddi ni Juma2 kama ulivyoainisha hapo juu...
  But incase hujaridhika then nakushauri utafute waislamu walio jirani nawe maana kwa hapa JF wengi watakujibu kwa kebehi na dhihaka hasa ambao wasio waislamu.
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Idi ya Adha ni kitu gani hiki mnaandika hapa?
   
Loading...