Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

i'd say this is a plausible explanation because certainly alien civilisations have been and are still visiting the earth
 
Kwahiyo alien, walijenga ili iweje...???????? kwa faida gani
Ni swali nzuri sana. Sababu gani aliens wakaja hapo kwetu kujenga haya mapyramidi? Hao wa nje yaani siyo wa kwetu, chanzo gani kilisababisha wajenge mapyramidi kwetu? Kujibu swali huo ni vigumu kwa sababu hakuna jinsi ya kuwasiliana na hao aliens ikiwa kama wapo. Ila kwa sasa hivi hatujui namna gani sisi twaweza kutumia mapyramidi haya. Kwetu ni kama milima tu kwa ajili ya furaha za watu kadha. Kwa hiyo hata kama tukitaka kujenga pyramidi haitakuwa na maana na hatuwezi kusema kwamba leo hii tunaweza kujenga pyramidi. Lakini tunatakiwa ku linganisha uwepo wa haya mapyramidi hapo Misri na mapyramidi sehemu nyingine za dunia kama Marekani, Ulaya, Asia - yaani dunia nzima. Tukitafuta kwenye internet tunaweza kupata habari nyingi za hayo mapyramidi mengine. Na haya yote yanafuatilia ujenzi wa kisayansi kama inaonekana hapo Misri. Kama swali la mapyramidi ni kama hivyo basi ina maana kwamba tunachotakiwa kufanya tukitaka kujua hali halisi ni kulinganisha habari za mapyramidi zote na kujua kama kuna aina yeyote ya uhusiano kati ya mapyramidi haya na ya binadamu. Kuliko kusema kwamba aliens walijenga haya yote bila uhusiano na binadamu itakuwa vizuri Zaidi kusema kwamba binadamu za kale wamekuwa na uwezo zaidi sana kuliko kile kililosadikiwa, pengine hata kuliko sasa.
 
A masterpiece of analysis to emancipate our brothers and sisters Africans from the whites' mental slavery! [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Pryamid hazikujengwa na watu weusi(vijakazi) zilijengwa na vizazi vikuu vya wazungu kabla ya hawa waliochwa kimasalia,prymid haziko misri tu hata maya empire ya kale huko mexico zipo na wenyeji wa huko walizikuta kama ambapo wakemet walivyozikuta,....

Hakuna kiumbe yeyote aliedaiwa kujenga hizo prymid zaidi ya kurithishwa tu na ndio maana huwezi kuta habari yeyote kuwa hizo prymid zina umri gani zaidi ya makadilio tu na zilikuwa na kazi yake maalumu zaidi ya kipindi fulani mapharo waligeuza kama mochwari humo ya kuhifadhia maiti zao (mumy),hutoweza kuona hatua wala formula za ujengaji hayo maprymid sehemu yoyote waliojenga walitembea na kila kitu chao nadhani,msibishane kwa kitu kisicho na ukweli wowote na misri(kemet) watu weusi walikuwa vijakazi tu nashangaa mnavyoshupalia walikuwa weusi,nenda katizame orodha ya mafalao huwezi ukakuta ni mwenye asili ya weusi zaidi ya rangi zao ni weupe tu na mpka sasa wamisri ni weupe tuu.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli katafiti tena black ni kijakazi tu hana uwezo huo.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Why would aliens build those structure in a foreign land???
Am here,waiting for answer,with you.
Pyramids are not the only strange structures currently existing in our world, but with no knowledge of ourselves, dwellers of the world, of who built them and why! Now, why would your question be directed specifically on the pyramids only, and not let's say, on the Moais in Easter Island?
 

Jibu kwanza kuhusu swali lake, na kisha uliza hayo ya kwako... au attach kama maswali ya nyongeza juu yake usubiri majibu na sio kumlaumu as if ulimtuma kuuliza!!
 
Jibu kwanza kuhusu swali lake, na kisha uliza hayo ya kwako... au attach kama maswali ya nyongeza juu yake usubiri majibu na sio kumlaumu as if ulimtuma kuuliza!!
Haileti mantiki kuuliza wali hilo kwa sababu waliomfanya azione hizo pyramids, na ambao ni watafiti waliobobea, nao pia wamejiuliza maswali hayo hayo kuonyesha kuwa hakuna aliye na majibu. Wanakiri kabisa kwenye documentary zao kwa kujiuliza maswali "who did this and why"?
 

Hakuna ukweli hapa,nani alishuhudia ni hao viumbe,
Picha zimepatikana vipi enzi hizo
[emoji189]
 
Wazungu wana hila sana,hawapendi mwingine apate.
True na ukweli ni kwamba hawataki kuukubali ukuu wa mtu mweusi but no matter what games&skims they do at the end they will aknowledge ukuu wa mtu mweusi time will tell wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…