Egyptair passenger plane hijacked, forced to Cyprus

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
BBr3Pag.img.jpeg

An Egypt air domestic flight from Alexandria to Cairo was hijacked on Tuesday and landed in Cyprus, Egyptian officials and Cyprus state radio said.

The Cyprus Broadcasting Corporation reported that 55 passengers were on board and a crew of seven.

At least one man was thought to be armed. The hijacking occurred in Cyprus's flight information region and the airliner was diverted to Larnaca.

Egyptian civil aviation sources and police confirmed the hijacking and said one man was involved. The plane was an Airbus 320, they said.

Source: msn.com
 
BBC wanadai hao hijacker ni wamisri tena wanataka hifadhi Cyprus. Sasa sijui wamefanya hivi kwanini?

Vyanzo kutoka misri wamedai hao hijacker ni wamisri tena wamemtambua mmoja kwa jina la Ibrahim Samaha. Walikuwa wanataka kwenda Turkey ila pilot akawaambia ndege haina mafuta ya kutosha ndio maana wakaamua kutua Cyprus.

Jamaa wamebadilisha uwelekeo wa ndege kwenda kutua Cyprus, wakati ndege ilikuwa inatoka Alexandria kwenda Cairo. Tena najiuliza hiyo milipuko waliwezaje kuingia nayo kwenye ndege? maana jamaa wamewaruhusu raia wa misri tuu kushuka kwenye ndege, ila wahudumu na raia wanne wa kigeni wamezuiwa. (ndege ilikuwa na waingereza 8 na wamarekani 10).

Police officers wa Cyprus wanasema wametishiwa wasisogelee ndege maana hijacker watajilipua amevaa suicide belt . Hijacker ni professor wa veterinary medicine wa Alexandria university.

Maswali magumu kuhusu hijacking
1. amewezaje kuingia na vilipuzi ama suicide belt?
2. Ilikuwaje akafika kwenye cockpit?
3. Kwanini ndege ilipotua tuu, watoto na wanawake waliruhusia papohapo yani with a fraction of seconds?
Je kuna elements za conspiracy hapo?
 
Hiki kizazi cha mazombi kinatakiwa kuondolewa tu duniani. Hta yakienda shule uzombi uko pale pale. Yanaharibu dunia.
 
Rais wa Cyprus amesema tukio hilo halihusiani na ugaidi. linahusiana na personal motives za hijacker.

Prof Ibrahim samaha (veterinary medicine at Alexandria university) ndiye hijacker amefanya tukio hilo akitaka hifadhi Cyprus na kumuona/ kufikisha ujumbe kwa ex- wife wake.
 
BBC wanadai hao hijacker ni wamisri tena wanataka hifadhi Cyprus. Sasa sijui wamefanya hivi kwanini?

Vyanzo kutoka misri wamedai hao hijacker ni wamisri tena wamemtambua mmoja kwa jina la Ibrahim Samaha. Walikuwa wanataka kwenda Turkey ila pilot akawaambia ndege haina mafuta ya kutosha ndio maana wakaamua kutua Cyprus.

Jamaa wamebadilisha uwelekeo wa ndege kwenda kutua Cyprus, wakati ndege ilikuwa inatoka Alexandria kwenda Cairo. Tena najiuliza hiyo milipuko waliwezaje kuingia nayo kwenye ndege? maana jamaa wamewaruhusu raia wa misri tuu kushuka kwenye ndege, ila wahudumu na raia wanne wa kigeni wamezuiwa. (ndege ilikuwa na waingereza 8 na wamarekani 10).

Police officers wa Cyprus wanasema wametishiwa wasisogelee ndege maana hijacker watajilipua amevaa suicide belt . Hijacker ni professor wa veterinary medicine wa Alexandria university.

Professa mzima anateka ndege, halafu ameamua kubaki na Wamarekani na Waingereza....hii ndio movie kabisa. Natumai hatakua zombi, maana tumewachoka mazombi.

Japo hilo la vilipuzi kupata fursa ya kuingia humo ni tishio kubwa sana na litaadhiri uasfiri wa ndege Misri haswa kwa watalii.

Yaani kwa mifumo ya ulinzi ya kisasa hilo linafaa kuwa mission impossible.
 
Duh! Huyo prof. noma sana. Huko Misri alikuwa anateswa au ni mapenzi kwa huyo mama?
 
Professa mzima anateka ndege, halafu ameamua kubaki na Wamarekani na Waingereza....hii ndio movie kabisa. Natumai hatakua zombi, maana tumewachoka mazombi.

Japo hilo la vilipuzi kupata fursa ya kuingia humo ni tishio kubwa sana na litaadhiri uasfiri wa ndege Misri haswa kwa watalii.

Yaani kwa mifumo ya ulinzi ya kisasa hilo linafaa kuwa mission impossible.
Egyptian official naona apo live press conference hawajataja majina na uraia wa hostages na hijacker sijui vyombo vya habari wamejuaje?

Hii kitu ina discredit Misri maana kwa jinsi hijacking ilivyofanywa inaovyesha kuna uzembe wa hali ya juu.
 
Kila mara hua nasema,sikuhizi wasomi wamegeuka kuwa wanamazingaumbwe.
 
Back
Top Bottom