Hivi hawa wananchi walitegemea miujiza? They got DOMOkrasi.
Arab spring, military springs...... na bado...Mubarak aliwapa nafasi ya transition ili akiondoka ije serikali ya kiraia. They missed the train. Sasa wamechagua a hard way..hakuna kurudi nyuma.
Likiondoka jeshi...inaingia Muslim brotherhood!!! Hapo itakamilisha mchezo.