farajamilele
Member
- Feb 12, 2014
- 91
- 63
- Thread starter
-
- #61
Mahitaji
1)Mayai yaliochemshwa (kata pande 2 kila yai)
2)Viazi
3)Mayai mabichi
4)Garam massala
5)Pilipili manga
6)Pilipili ya kuwasha
7)Limao au ndimu
8)Bread crumbs au unga wa ngano
9)Chumvi kiasi
10)Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
1)Chemsha viazi hadi kuwiva then bonda bonda hadi iwe laini
2)Add chumvi,garam masala,pilipili na ndimu...changanya vizuri
3)Then tengeza duara kwa hivo viazi then weka kipande cha yai kati...weka pembeni
4)Pakaa unga hizo round za viazi na mayai....
5)Weka mafuta katika karai jikoni yapate moto
6)Vunja mayai then yachanganye vizuri....then chukua hizo round tia kwenye mayai hakikisha mayai yanaenea vizuri
7)Dumbukiza katika karai na kaanga hadi ziwe brown
8)Egg chops tayari kwa kuliwa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
farkhina my dear hem niambie na zengine naonaga mashughulini za nyama kusaga wanawekaga na kotmiri etc ila ile nyama hua kavukavu ila inashikana hata kwa kababu hua hivo nyama unaenjoy maana hua kavu..swali. .una idea wanaweka nn ili ishikane at the same time inaonekana kavu kavu(yaani hapa kinachochanganyiwa nadhani hua si mayai)Mahitaji
1)Mayai yaliochemshwa (kata pande 2 kila yai)
2)Viazi
3)Mayai mabichi
4)Garam massala
5)Pilipili manga
6)Pilipili ya kuwasha
7)Limao au ndimu
8)Bread crumbs au unga wa ngano
9)Chumvi kiasi
10)Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
1)Chemsha viazi hadi kuwiva then bonda bonda hadi iwe laini
2)Add chumvi,garam masala,pilipili na ndimu...changanya vizuri
3)Then tengeza duara kwa hivo viazi then weka kipande cha yai kati...weka pembeni
4)Pakaa unga hizo round za viazi na mayai....
5)Weka mafuta katika karai jikoni yapate moto
6)Vunja mayai then yachanganye vizuri....then chukua hizo round tia kwenye mayai hakikisha mayai yanaenea vizuri
7)Dumbukiza katika karai na kaanga hadi ziwe brown
8)Egg chops tayari kwa kuliwa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nakumbuka wakati najifunza kupika sambusa/samosa..basi nikaandaa vitu vyangu..nikazifunga vizuri nkachemsha mafuta,yalivyopata moto nikaweka sambusa zangu,looh zikaanza kufunguka,mchanganyiko wote ukapanda juu...nililiaje? Kumbe ile chapati ilikuwa pana sana.. Kesho yake nikajaribu tena na tena mpaka nikafuzu
Kila kitu ni kujaribu na kutokata tamaa
Mi huwa najaribu catless zinatawanyika nishachoka
My dear pia angalia aina ya viazi..km upo tz(huko kwengine sijui) ukiwa unataka kupika katles au kachori tumia viazi vyekundu na kwa chips tumia vile vyeupe utaenjoy...vyekundu hua ni vikavu yaani unavyovibonda pale hata ukiadd na hayo maji ya ndim havina tazizo.
Mi huwa najaribu catless zinatawanyika nishachoka
farkhina my dear hem niambie na zengine naonaga mashughulini za nyama kusaga wanawekaga na kotmiri etc ila ile nyama hua kavukavu ila inashikana hata kwa kababu hua hivo nyama unaenjoy maana hua kavu..swali. .una idea wanaweka nn ili ishikane at the same time inaonekana kavu kavu(yaani hapa kinachochanganyiwa nadhani hua si mayai)
My dear pia angalia aina ya viazi..km upo tz(huko kwengine sijui) ukiwa unataka kupika katles au kachori tumia viazi vyekundu na kwa chips tumia vile vyeupe utaenjoy...vyekundu hua ni vikavu yaani unavyovibonda pale hata ukiadd na hayo maji ya ndim havina tazizo.
Ni kama katles tu ati sema hiyo unaweka yai ndani
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kukosea ndo kujifunza mamangu..siku nyingine nachekwa..afu wananitia moyo nami najitahidi najikuta nafuzu..
Hapa nna vitabu vya mapishi..mara ya kwanza kupika pilau na chapati za kukanda nilifwata maelekezo ya kitabu na nikaweza
Kuna z nyama tupu my dear hawaweki viazi ni tamu nazo !!
hehee basi mlivoniambia hivi jana nimewazaje leo asubuhi nimeanza na kupractise nimeweka nia
this year lazima nijue kupika vyakula vingine ambavo sivijui.
nahisi hiyo ndio nimeiongezea kwenye To do list yangu this year kujifunza mapishi
Nshaelewa mama ile kushikana ni mayai yale ndio yanafanya kushikana kuna nyengine za samaki ushawahi kula? Za samaki ni nzuri zaidi unatumia samaki wale wasio na miba mingi wale wakubwa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Yap nishakula...tamuje!!!
All the best H.O.E
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sometime it happens....mm nachukiaga nikiwa na wageni halaf jiko likinigomea...mh hizo hasira.
....chunga sana kitambi kisije mzidi uwezo
Really? Una hisi tatizo liko wapi? Mafuta unayasubiria yapate moto vizuri?