napendaga game la FM Football Manager
Wewe unakuwa ni kocha unanunua wachezaji na kupanga mfumo na kikosi
Wewe unabaki kuangalia kama kocha hubonyezi popote kucheza wapo automatic ila wanacheza kutokana na maelekezo yako ya mfumo na style ya uchezaji high pressing, counter attack, long pass, etc
Kila msimu unatumia mwezi mmoja na kupanda level na unabadilisha kikosi kizima kwenye dirisha la usajili
Top 4 msimu unaofuata wanacheza champions
5-6 ni cup ligi ina timu 14
Game lenyewe ni la online
Nishafunga Wanigeria na Wairan sanaaaa