Upo vizuri mkuu ukipata wachezaji wazuri utakimbiza mpaka division 1.
Mimi ninacheza back 5 kuzuia 😀 ila nikiwa nampirai inakua 433 nimemuwekea Costacurta CB attacking instruction anakua midfielder kupata on target inabidi ujipange😀
View attachment 3239161