Kuna jamaa division 1 nilicheza nae mechi 2, game ya kwanza nilimfunga 3-2 na game ya pili akanifunga 0-1 na ndiye aliyeanza kunipa mzuka nirudi kucheza hiyo ligi.
Kuna watu wako serious sana hadi katika vitu vidogo kama hivi yani mtu kuiba account ya game imeniuma kwakuwa naanza upya ila imenifurahisha pia 😂, nilijichanganya mwenyewe tu mkuu.
Kuna watu wako serious sana hadi katika vitu vidogo kama hivi yani mtu kuiba account ya game imeniuma kwakuwa naanza upya ila imenifurahisha pia 😂, nilijichanganya mwenyewe tu mkuu