EFM yapewa ruksa ya kuruka mikoa 10 ya Tanzania, Nape amsifu Majay. Hofu yatanda Clouds Media Group

Nasikia Lady J Dee ndyo mmiliki wa E-fm, kuna ukwel hapo?
e52d5b0c44abe18ce80246bd5666c039.jpg
 
Nape naona kama ameamua liwalo na liwe, ila pia nlianza kuona pia January nae kama anamwaga mboga vile. Wanajiamini nini hawa au wana siri gani nzito ambayo inawapa nguvu ya kuwa huru
 
ni vema kuwa na vituo vingi vya redio vinavyosikika mikoani but we need creativity tumechoka kusikiliza vipindi vilevile,vilivyobadilishwa majina tu na watanzania kusupport tunaua creativity.
 
Acha watu watiririke.
Mbona kwa Makonda watu wanatiririka?,na mpaka sasa hakuna alieweka proof hadharani?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Francis Cizza aka DJ MAJIZZO ni mmoja wa watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya ambaye anadaiwa kuwa mbunifu wa kuwatumia watendaji wa Serikali kujificha na kashfa zake. MAJIZZO ni jina maarufu sana kwenye vijiwe vya wauza unga na hata yule Kibibi Gagula kama mwenyewe anavyojiita, MANGE KIMAMBI aliwahi kulalamika kuwa MAJIZZO ndiye Dealer mkubwa wa biashara ya madawa ya kulevya akishirikiana na akina Kinje Ngombale Mwiru. DJ Majizzo ndiye mmiliki wa kituo cha Radio cha E-FM.

DJ MAJIZZO ni mmoja wa watuhumiwa wa madawa ya kulevya na anaendelea kuchunguzwa na Tume ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya nchini. Kwa sasa, MAJIZZO ameamua kujikwinyata kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, NAPE MOSES NNAUYE. Jana tarehe 7 Machi 2017 majira ya saa mbili usiku, NAPE alikutana na Majizzo eneo la Eaters Point, Namanga, jirani na Bestbite ambapo pamoja na mambo mengine wameafikiana mambo yafuatayo;

1. MAJIZZO atamnunulia Nape Nnauye gari la kifahari aina ya Range Rover

2. Nape Nnauye atanunuliwa Appartment ambayo ujenzi wake unaendelea maeneo ya Ada Estate, Kinondoni Dar es Salaam

3. Majizo amemhakikishia Nape kumjengea nyumba eneo la Ngongo Lindi na Mtama kwa gharama zake

4. Nape amemhakikishia Majizo kuwa hatabughudhiwa kwenye kazi zake na atahakikisha kituo chake cha Radio cha E-FM kinapewa uhuru wa kutosha hasa kinapowasakama viongozi wa Serikali wenye bifu naye na hasa ikizingatiwa kuwa kinashindana na hasimu wake Ruge Mutahaba.

5. Nape amemhakikishia Majizo kuwa hakutakuwa na mashtaka yoyote kuhusu madawa ya kulevya dhidi yake na hilo atalisimamia yeye mwenyewe.

Tuhuma hizi ni nzito sana. Sikutegemea kuwa ndugu yangu Nape ataingia kwenye mikono ya wauza unga kirahisi namna hii. Nikuombe sana ndugu yangu Nape. Wauza Unga kaa nao mbali. Utawala huu wa Rais Magufuli hautaacha mtu. Bado una umri mdogo sana na unapaswa kujiendeleza kisiasa. Nakuhurumia kwa yale yatakayokukuta

Shame to you Lizaboni, Jana Waziri Pendwa Nape Nauye alienda kuzindua leseni ya EFM kurusha masafa Mikoa Kumi, so ilikuwa ni ziara rasmi ya Serikali, Mwanaume acha umbeya, utavishwa sketi

IMG_0341.jpg
 
hivi huu uzi katoa lizaboni au naota tu
 
Ila Nakupendea Kitu Kimoja Tu...

Unajua Kuunganisha Nukta So Kwa Mtu Asiyekufahamu Ni Ngumu Sana Kukuelewa.

Unajua Kuumba Uwongo ili Watu Wadhani Kuwa Ukweli Na Ukweli Kuwa Uwongo Kwa Lugha Rahisi Manake Wewe Ni Kizabizabina.

Kwako Wewe Mtu Anayeongea Ukweli Huwa Ni Adui Yako So Nashangaa Kwa Rais Wetu Sio Adui Yako Wakati Huwa Anaongea Ukweli..

Jitathimini Mkuu sio Maisha Mazuri kabisa Ya Kuchonganisha Watu hayo.
Ni kizabizabina
 
Shame to you Lizaboni, Jana Waziri Pendwa Nape Nauye alienda kuzindua leseni ya EFM kurusha masafa Mikoa Kumi, so ilikuwa ni ziara rasmi ya Serikali, Mwanaume acha umbeya, utavishwa sketi

IMG_0341.jpg
[/QUO

IMG_0273.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom