Huyu masanja siku zake zinahesabikaKila ubaya utalipwa tu
Pengine, lakini kwa mtazamo wangu hawawazidi wale wanaodhani kuwa yana impact yoyote........wale ni mazwazwa!Ni wapumbavu watakaodhani kuwa maandamano ya CHADEMA hayana impact. hao ni wapumbavu tu kama wapumbavu wengine
Hao nao ni makanjanja kwa asili yao🤓Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.
Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa Chadema "People".
Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na Chadema utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.
Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
View attachment 2912151
Ngoja tusubiri maoni ya Erythrocyte.Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.
Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".
Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.
Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
Yana impact gani mfanoPengine, lakini kwa mtazamo wangu hawawazidi wale wanaodhani kuwa yana impact yoyote........wale ni mazwazwa!
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.
Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".
Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.
Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
Ni ukweli usio pingika chadema maandamano haya impact yeyote ile kwa mtawalaKupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.