Efm vs Cloudsfm

Efm vs Cloudsfm

Efm ipo dar tu af Cloud FM nchi nzima
Kwa hiyo bado unataka ujue nan anasikilizwa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Efm ipo dar tu af Cloud FM nchi nzima
Kwa hiyo bado unataka ujue nan anasikilizwa
Kuwa nchi nzima siyo kigezo cha kusikilizwa.Na hata ukisikilizwa,inategemea unasikilizwa na watu wa makundi gani na ni vipindi gani hasa vinasikilizwa.Mimi hizo radio stations huwa nasikiliza vipindi vya michezo tu!Kwa ushindani uliopo sasa ni vigumu sana kuwateka wasikilizaji saa 24.Wananyang'anyana wasikilizaji kwenye baadhi ya vipindi.
 
isikike dar tu harafu iishinde radio inayosikika karibu nchi nzima ?
Hii forum mi nimgeshauri melo atoe watu usafi ufanyike maana kumawatu humu sijui huwa hawaelewi we mtu kashasema coverage area hatuangalii we unakuja na upogba wako apa
 
Back
Top Bottom