Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 514
habari wanajf!!
kama tunavyo jua Efm na cloudsfm ni radio stations zinazo tikisa kwenye masikio ya watu wengi hii ni kutokana na ushindani uliopo kati ya hivi vituo vya kulushia matangazo ya sauti.
Sasa leo tuondoe utata pasipo kujali coverage area kati ya hivi vituo nataka tujue ni kituo kipi kinapendwa kusikilizwa na watu wengi? pia watangazaji wazuri wapo kituo kipi? vipindi vyenye mvuto vipo upande upi? kituo gani kina boa sana? n.k
"KURA YAKO ITAHESABIWA"
NB: naomba usije na hoja ya coverage area ya kulusha matangazo, tunataka tujue ni kituo kipi kinapendwa sana.
NAWASILISHA