M Mgole16 Member Joined Jan 16, 2016 Posts 8 Reaction score 6 Jan 31, 2016 #1 Mh rais aliwaambia TRA wagawe hizi machine za EFD kwa wananchi wao kusanye kodi na juzi juzi waziri wa fedha alirudia, naomba kufaham utekelezaji umeanza au bardo? Na kama tiyari taratibu zikoje?
Mh rais aliwaambia TRA wagawe hizi machine za EFD kwa wananchi wao kusanye kodi na juzi juzi waziri wa fedha alirudia, naomba kufaham utekelezaji umeanza au bardo? Na kama tiyari taratibu zikoje?
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,022 Reaction score 12,069 Jan 31, 2016 #2 Kuna maeneo mengine bado.kwani zinagawiwa bure au?