Sawa, basi hizo machine watupatie bure sasa ili baadae watuadhibu endapo tunawahudumia wateja bila kuwapatia risiti. Kwa hali ya kawaida mm siwezi kuwa na mtaji wa laki tano alafu uniambie nitoe kwanza laki 7 za machine ya EFD...itakuwa ni uwendawazimu, wafikirie upya kuhusu wale wenye mitaji midogo na umiliki wa hizo machineEfd ni.mfumo unaotumika dunia nzima na wasiotaka kutumia wana nia ovu ya kukwepa kodi. Maendeleo hayawezi kuja bila sote kulipa kodi. Wananchi pia wanao wajibu wa kuwa wazalendo kwa kudai risiti kwa kila manunuzi
upo sahihi mkuu. kuna mambo mawili hapa: kuanza biashara na kulipa kodi. mara nyingi wajasiriamali wanaanza biashara kwa mtaji mdogo sana. ambao hauwazuii kulipa kodi tatizo ni kulazimika kununu EFD machine kwa bei hiyo kubwa ambayo pengine inazidi hata mtaji. Ili kusaidia watu kama hawa basi wangetengeneza utaratibu wa kulipa kodi wakati wanaanza biashara ili hizo EFD zisiwe kikwazo katika kuanzisha biashara bali ziwe ni nyenzo za kuimarisha biashara na uchumi wa nchi.Efd ni.mfumo unaotumika dunia nzima na wasiotaka kutumia wana nia ovu ya kukwepa kodi. Maendeleo hayawezi kuja bila sote kulipa kodi. Wananchi pia wanao wajibu wa kuwa wazalendo kwa kudai risiti kwa kila manunuzi
Ndio kivipi, yaani unamaanisha leseni ya biashara inatolewa na TRA ?Ndiyo mkuu lazima uwaone hawa jamaa usisahau hela ya EFD!
Inatakiwa uende usajili biashara yako/zako upewe TIN No ili utambulike kama mfanyabiashara pia iwe rahisi kwao kufuatilia maendeleo ya biashara zako ili upangiwe kiwango sahihi cha makadirio yako kwa mwaka.hope nimesaidia kidogo wengine wataongezea.Ndio kivipi, yaani unamaanisha leseni ya biashara inatolewa na TRA ?
Leseni inatolewa Halmashauri lakini kwa unaeomba leseni ya biashara ya kampuni lazima uende TRA wakukadirie kodi, ulipe robo na efd halafu unapewa kibali cha kwenda nacho huko halmashauri. Nafikiri tuko pamoja sasa. michakato inatofautiana kulingana na aina ya biashara unayosajiliNdio kivipi, yaani unamaanisha leseni ya biashara inatolewa na TRA ?
Yes na hiyo ndio TIN na ndivyo ninavyojua mimi, kuhusu leseni mimi najua zinatolewa HalmashauriInatakiwa uende usajili biashara yako/zako upewe TIN No ili utambulike kama mfanyabiashara pia iwe rahisi kwao kufuatilia maendeleo ya biashara zako ili upangiwe kiwango sahihi cha makadirio yako kwa mwaka.hope nimesaidia kidogo wengine wataongezea.
HujamuelewaEfd ni.mfumo unaotumika dunia nzima na wasiotaka kutumia wana nia ovu ya kukwepa kodi. Maendeleo hayawezi kuja bila sote kulipa kodi. Wananchi pia wanao wajibu wa kuwa wazalendo kwa kudai risiti kwa kila manunuzi
Hivi leseni za biashara zinatolewa na TRA au Halmashauri ?
Hapana hapo kuna shida, so kweli kwamba kila biashara shart iwe na hiyo machine, zunguka halafu nambie duka gani la mangi au mkaanga chips au muuza supu yupi n.k n.k ana machineNimeshangaa sana nilivoenda TRA kupata leseni ya biashara nikaambiwa lazima nilipie kwanza Mashine ya EFD ndiyo nipate leseni!! NAAMINI katika kulipa kodi lakini huu utaratibu siyo mzuri kwani wengi wanaoanzisha biashara mitaji ni midogo sana haifikii hata laki 5 sasa hiyo ya kulipia EFD mashine laki 7 tutaipata wapi?
Nashauri TRA waangalie namna gani ya kudai kodi kwa wajasiriamali tunaoanza biashara na siyo kulazimisha EFD machine. Kuna namna nyingi ya kukusanya kodi na siyo lazima hizo mashine. Baada ya kipindi fulani basi ndo kuwepo na sheria ya kununua hizo mashine wakati mtaji umekuwa.
uko sahihi kuna aina ya biashara na kiwango. wamenielewesha lakini bado kuna tatizo kama umesajili kampuni kwaajili ya biashara utahitaji pia ulipie 1/4 ya kodi ya makadirio ya mwaka! hiyo kodi unaitoa wapi wakati hata biashara hujaanza kwa mfano? mimi kwa uelewa wangu kodi inatokana na biashara iliyofanyika na si vinginevyoHapana hapo kuna shida, so kweli kwamba kila biashara shart iwe na hiyo machine, zunguka halafu nambie duka gani la mangi au mkaanga chips au muuza supu yupi n.k n.k ana machine
Hapo kuna shida ya uelewa, ongea nao vizuri wakuelewe
Kwa uelewa wangu leseni hutolewa ofisi za manispaa, kule utajaza form ya maombi ila ni lazma wataku refer TRA ukakadiriwe malipo ya kodi kwa miezi 12 ya kwanza na ndipo gharama inakuja kulingana na daraja la leseni, na swala la hiyo EFD machine ndo utabananishwa hapa japo mimi sikukutana nalo. Otherwise leseni ni bure kabisaNdio kivipi, yaani unamaanisha leseni ya biashara inatolewa na TRA ?