Acheni basi kazi za kuajiriwa fungua biashara na wewe Kama unaona wafanya biashara tunafaidi kutolipa kodi, sa Kama hatulipi kodi sijui huo mshahara mngelipwa na nini hela za EPA, faida zitokanazo na pembe za ndovu ama madawa ya kulevya?
ni kwanini mtumishi wa serikali anakatwa kodi kubwa kwenye mshahara, halafu mfanyabiasha anayepata kipato kikubwa kuliko huyu mtumishi asilipe kodi kulingana na kile akipatacho? Hawa wafanyabiashara baadhi yao ni wahujumu uchumi. Wafunge tu, watafungua wenyewe. Hata ile kodi ya line ya simu ingerudishwa ili kila mtu achangie huduma za jamii.