Efatha wamjibu kinana..

Efatha wamjibu kinana..

Ukikumbuka ile ishu ya mawaziri mizigo jinsi mkuu wa nchi alivowabwaga wambea walipopeleka umbea ili awatose wale waloitwa mizigo,unajua tu kuwa hata ktk hili,atawabwaga tu
 
kwani sheria inasemaje? tatizo hawaongi? viongozi wa ccm rukwa wanataka kula. kama ni kukata watu masikio kwani kwa nini haichukui mkondo wake? tatizo jingine ni chadema tangu tuanze kuwasikia viongozi wetu wanasumbuka sana na kufikia hata kula hadharani. natamani chadema ifilie mbali.
Hivi umekielewa ulichokiandika? jitahidi sana kutumia hiyo akili yako kidogo uliyonayo kuandika mambo ya maana na sio kuandika ujinga ambao unaidhalilisha familia yako. CDM kwa mada hii kuna sehemu wanahusika?
 
Utendaji wa Kinana hauna tofauti na utendaji wa wapinzani.Kile ambacho kinatakiwa kifanywe na wapinzani yeye ndiye anacho kifanya.Anafanya Kazi ya kuipinga serekali utafikili kilichofanyika hakijafanywa na serekali yake.Kinana atakuwa ana kiandaa chama chake ili kitakapo kuwa chama pinzani kisipate shida ya kuipinga serekali itakayo kuwa madarakani kipindi hicho.
Siyo upinzania ni kukosoa

mwingira ni mjasiriamali wa kidini.

Tumia akili kuchangia hoja ya msingi sii kutaka kupeleka hoja hii kidin

Mawazo yako yamejaa chukii na uzandiki kwa dini tofaiti na yakoo

Ungejua effatha wanavyofanya wananchi ktk shamba hilo na wamiliki ni wanjiita watumeee
 
Kama kuna mtu ana account ya Kinena ya FB au Twitter mtumpieni hii picha.

Kinena hajawahi kuongea pointi hata siku moja!
Kinena ni mtu aliyelewa na madaraka na Fedha za kifisadi zinazotokana na uuzaji wa Pembe za ndovu. Efatha wanatakiwa kumpuuza!
Mkuu KINANA sio KINENA!kwa baadhi ya waswahili KINENA ni kisemeo na maana nyigine kifaa cha burudani za kiutu uzima!
 
Mkuu KINANA sio KINENA!kwa baadhi ya waswahili KINENA ni kisemeo na maana nyigine kifaa cha burudani za kiutu uzima!

124 Ali;
Uko sahihi kabisa Mkuu.
Ningeliweza kumwita Kinana kama matendo yake yangelikuwa yanafanana na mtu mwenye akili zake timamu!
Lakini kwa huyu Kinana wa CCM siyo mtu baali ni KINENA maana matendo yake yanafanana kabisa na vitu ulivovitaja. Yeye ni Kinena kwa vile anatumika na CCM kunena upuuzi wake wa CCM kwa Watz na vile vile Biashara yake ya Pembe za Tembo wetu zinanilazimu kumfananisha na Kinena cha burudani za kiutu uzima kama ulivoeleza hapo juu!

Ni hayo tu mkuu.
 
Huyu Mwingira anafahamika na serikali sijui kama Kinana ameona hii kitu
Mtume na Nabii Josephat Mwingira asaidia maendeleo mkoa wa Rukwa

30/05/2009 by Strictly Gospel
22
mwingira.jpg

Rais Jakaya Kikwete akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa kiongozi wa kanisa la Efatha nchini, Mtume na Nabii, Josephat Mwingira katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Rukwa iliyoongozwa na Rais kwenye hoteli ya Kilimanjaro- Kempinski jijini Dar May 27, 2009. Zaidi ya shilingi bilioni 1.4 zilichangwa,Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PICHA BOMBA SANA MKUU, ASANTE SANA
MIE BINAFSI SASA NASUBIRIA KWA HAMU KUU, UNABII UTAKAORUSHWA ....JUU YA KINANA..........
SIJUI NABII ATAANZIA KUANIKA JUANI NA YALE MAKAMPUNI YA MELI YA JAMAA ...............AU ATAANZIA KUIANIKA ILE MIGOROFA YAKE PALE SAMORA............AU KWA YULE SANGOMA WAKE ANAERUSHWA NA NDEGE ZA SERIKALI KUJA BONGO ......NHIIIIIII !!!!...NGOJA NISUBIRI
 
Kama kuna mtu ana account ya Kinena ya FB au Twitter mtumpieni hii picha.

Kinena hajawahi kuongea pointi hata siku moja!
Kinena ni mtu aliyelewa na madaraka na Fedha za kifisadi zinazotokana na uuzaji wa Pembe za ndovu. Efatha wanatakiwa kumpuuza!

Ha ha ha ha!!!!

Mkuu siyo KINENA ni Kinana..
 
Lakini jamani tujaribu kuwa wakweli! Hekta (siyo eka) 10,000 kuuzwa kwa Sh.600 milioni TU? Yaani eka moja imeuzwa kwa Sh.24,282!!! Ni bora wananchi wapewe hiyo ardhi kwani aliyepewa kasshindwa kuiendeleza na wananchi hawana ardhi! Msaada wa Maendeleo wa Sh.10 milioni ni kiini macho tu ili mtu apigwe picha pamoja na Rais halafu atundike ukutani kughilibu watu kuwa "Hata Rais anajua mchangomwangu katika maendeleo ya nchi". Kwa mwendo huu hatufiki!
 
sasa jamani si ni shamba lao, kama wamenunua kwa taratibu zote, naona kama wanaonewa tu bila sababu

hao efatha ndio wanakata wananchi maskio?? Shamba lazima ligawe kwa wananchi, ardhi ikae bure kwa babu zip??
 
Shamba hawatapata na kura watapiga. Wananchi wa Sumbawanga ni wepesi wa kusahau. Mkoa wa Rukwa is leading amonh big four producer to feed the country since independence. Barabara ya lami ya km 200 wamekuja kupata juzi tuu,miaka yote mazao yao yanaoza mikononi.
 
Kisheria serikali haiwezi kuwanyanga'anya Efatha hilo sgamba wakati yenyewe ndiyo ililiuza. Acheni ushabiki haya mambo ni ya kisheria na mjue mwisho wa siku atakayelipa fidia ni wananchi masikini kama ilivyokuwa kwenye Richmond ambako serikali inadaiwa mabilioni kama fidia kwa kuvunja mkataba. Kinana na serikali ni wanafiki. hilo shamba lilipo kosawanunuzi kwanini wasiligawe kwa wanachi kama walikuwa na nia hiyo?
 
Huyu Mwingira anafahamika na serikali sijui kama Kinana ameona hii kitu
Mtume na Nabii Josephat Mwingira asaidia maendeleo mkoa wa Rukwa

30/05/2009 by Strictly Gospel
22
mwingira.jpg

Rais Jakaya Kikwete akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa kiongozi wa kanisa la Efatha nchini,
Mtume na Nabii, Josephat Mwingira katika harambee ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Rukwa iliyoongozwa na Rais kwenye hoteli ya Kilimanjaro- Kempinski jijini Dar May 27, 2009. Zaidi ya shilingi bilioni 1.4 zilichangwa,Katikati ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PICHA BOMBA SANA MKUU, ASANTE SANA
MIE BINAFSI SASA NASUBIRIA KWA HAMU KUU, UNABII UTAKAORUSHWA ....JUU YA KINANA..........
SIJUI NABII ATAANZIA KUANIKA JUANI NA YALE MAKAMPUNI YA MELI YA JAMAA ...............AU ATAANZIA KUIANIKA ILE MIGOROFA YAKE PALE SAMORA............AU KWA YULE SANGOMA WAKE ANAERUSHWA NA NDEGE ZA SERIKALI KUJA BONGO ......NHIIIIIII !!!!...NGOJA NISUBIRI

Huyu Kinena anaonekana kuanza uvuvuzela kama ule alioanza nao Nepi. Wewe umeshaambiwa shamba limeuzwa na serikali halijavamiwa unawezaje kunyang'anya? Kwanini serikali baada ya kushindwa kuliendesha isiligawe kwa wananchi na badala yake ikatangaza mnada? Huyu hajakoma bado na makelele yake ya mawaziri mizigo ambao mpaka leo amebaki na aibu
 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PICHA BOMBA SANA MKUU, ASANTE SANA
MIE BINAFSI SASA NASUBIRIA KWA HAMU KUU, UNABII UTAKAORUSHWA ....JUU YA KINANA..........
SIJUI NABII ATAANZIA KUANIKA JUANI NA YALE MAKAMPUNI YA MELI YA JAMAA ...............AU ATAANZIA KUIANIKA ILE MIGOROFA YAKE PALE SAMORA............AU KWA YULE SANGOMA WAKE ANAERUSHWA NA NDEGE ZA SERIKALI KUJA BONGO ......NHIIIIIII !!!!...NGOJA NISUBIRI
[/QUOTE]

Ooooooooohhhhhh! Mwe mwe mwe! Kinana na Ephata! Ha! Wale jamaa wanaomba ni hatari. Tena maombi Yale ya fire for fire Kama ya wanaigeria. Oh! Hii ni hatari kwa mheshimiwa Kinana. Amefanya vita na watu wanaoua sisimizi kwa rungu.

Ngoja wamfungie Saba kavu kwenye ile kambi yao ya maombi kibaha.

Mh! Hii sinema ndio kwanza imeanza.

Queen Esther
 
Back
Top Bottom