Umeona eeh!Historia ya kisiasa ya familia yake inamfunga kimya kimya.
Hakika.Umeona eeh!
Brother are you sure???Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu.
Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu walioshiriki ktk jaribio la kutaka kumpindua mwl. Nyerere akiwa pamoja na akina Hans Pope. Yaliyomkuta Hans Pope na Mayalla mwenyewe mm sikuyazingatia..
Ndipo sasa mm nikaanza kujiuliza kwamba hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya mtoto wa mzee Mayalla, Pascal Mayalla kunyimwa uteuzi?? Mtoto wa mzee Mayalla amejaliwa kipaji cha uchambuzi na udadavizi wa masuala ya kisiasa na ni mwanasheria, iweje wateuliwe akina "fidodido" halafu yeye akaachwa?
Pengine ni karma inamtesa mtu huyu??
Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu.
Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu walioshiriki ktk jaribio la kutaka kumpindua mwl. Nyerere akiwa pamoja na akina Hans Pope. Yaliyomkuta Hans Pope na Mayalla mwenyewe mm sikuyazingatia..
Ndipo sasa mm nikaanza kujiuliza kwamba hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya mtoto wa mzee Mayalla, Pascal Mayalla kunyimwa uteuzi?? Mtoto wa mzee Mayalla amejaliwa kipaji cha uchambuzi na udadavizi wa masuala ya kisiasa na ni mwanasheria, iweje wateuliwe akina "fidodido" halafu yeye akaachwa?
Pengine ni karma inamtesa mtu huyu??
Historia ya kisiasa ya familia yake inamfunga kimya kimya.
Thibitisha ni habari ya uongo...hii ni habari ya UONGO.
Thibitisha ni habari ya uongo.
Je huyo Pascal anaweza nini hadi ateuliwe? je hata kama ni mtu duni anaweza hata kuua ili apate uteuzi kama akina naniliu?Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu.
Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa comment inayoeldzea kisa cha mzee Mayalla, babake Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa watu walioshiriki ktk jaribio la kutaka kumpindua mwl. Nyerere akiwa pamoja na akina Hans Pope. Yaliyomkuta Hans Pope na Mayalla mwenyewe mm sikuyazingatia..
Ndipo sasa mm nikaanza kujiuliza kwamba hii inaweza kuwa ndiyo sababu ya mtoto wa mzee Mayalla, Pascal Mayalla kunyimwa uteuzi?? Mtoto wa mzee Mayalla amejaliwa kipaji cha uchambuzi na udadavizi wa masuala ya kisiasa na ni mwanasheria, iweje wateuliwe akina "fidodido" halafu yeye akaachwa?
Pengine ni karma inamtesa mtu huyu??
Weka hapa hiyo link iliyo na hiyo mada, nithibitishe mwenyewe...kuna mada hapa JF inayohusu kesi iliyomhusisha Mzee wake Pasco.
..haikuwa kesi ya uhaini, na Mzee wake Pasco alikutwa hana hatia.
..kama unakubali kudanganywa shauri yako.