Ee mwenyezi MUNGU tunakuomba uzidi kuwatia upofu CCM waparuane na 2020 chama kife kabisa

Hapo ndio wanajiweka sawa,mpaka 2020 wahuni watakua wameisha na CCM kitabaki imara mkuu.
 
kuenguliwa kwa makamba kumenpa faraja sana...Aliwahi kupuuza amri halali ya mahakama ya kutobomoa nyumba ambazo shauri lake lilikuwa linasikilizwa...pathetic
 
Mwenyezi MUNGU haya yanayoendelea CCM yaruhusu yaendelee, waparuane, wagombane kila mtu achukue chake mapema na ifikapo mwaka 2020 chama hiki CCM kife kabisa hapa Tanzania.
Ninaomba sana MUNGU usikie maombi yangu.
Amen
Ndoto Za Kilaza
 
Kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu nchini, udhaifu, migogoro na ubaya wa CCM kamwe hautufanyi sisi kuwa imara, Hayo ni yao ndani ya Chama chao. Tushugulike na mambo serious ya Taifa. Uchumi ,Demokrasia , Utawala bora na Uhuru wa kujieleza.

Lawama zote kwa John
 
Mwenyezi MUNGU haya yanayoendelea CCM yaruhusu yaendelee, waparuane, wagombane kila mtu achukue chake mapema na ifikapo mwaka 2020 chama hiki CCM kife kabisa hapa Tanzania.
Ninaomba sana MUNGU usikie maombi yangu.
Amen
Mkuu,all I have to say is the big AMEN to that marvelous words!Hallelujah!😂😂😂😂😂
 
Mwenyezi MUNGU haya yanayoendelea CCM yaruhusu yaendelee, waparuane, wagombane kila mtu achukue chake mapema na ifikapo mwaka 2020 chama hiki CCM kife kabisa hapa Tanzania.
Ninaomba sana MUNGU usikie maombi yangu.
Amen
Ameni
 
Back
Top Bottom