tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
jina la snowden limetajwa na wanaharakati wengi wa haki za kibinaadam wakitaka jina hili liingizwe kwenye kinyang'anyilo cha tunzo hiyo.
profesor svallfors wa chuo kikuu cha sweden amewaandikia barua "the norwegian nobel commitee" akiwaarifu kuwa snowden ameweza kuiweka dunia mahala bora na salama.