Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895


0026b4ef-e57d-45c7-abbe-a1dcc064a07c.jpg

Waziri Mkuu wa Zamani na aliyekuwa Mgombea Urais wa chama cha CHADEMA, Mh.Edward Lowassa akijadiliana jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, awamu ya tano, Dk John Pombe Magufuli, mapema leo walipokwenda kushiriki misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu awamu ya tatu, Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa jijini Dar leo

3933d87b-7cdb-4ef5-a0f1-a1c8ea655124.jpg

Picha ya pamoja mara baada ya misa hiyo

Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakifurahia Jubilei ya Dhahabu ya ndoa jijini Dar leo

14089027_10209030104502827_3019418964212088256_n.jpg


image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg


My Take:
Najitahidi kusoma Body Language ya hii Picha . Nimekazana kumuangalia Warioba na Edward Lowassa. Kwenye Siasa Hakuna adui wala rafiki wa Kudumu.
 
Kwa kifupi, picha inambeba zaidi Lowassa maana inaonyesha Uvumilivu na Political Maturity ya hali ya juu sana dhidi ya waliombeza na kumkejeli wakati wa kampeni.

Lowassa si mjinga bali yuko kimkakati zaidi na ana vision.

He is a talented politician and not a politician by chance.

Kwa msioelewa,hii picha inamuweka Lowassa moyoni mwa wana-CCM hata akiwa nje ya CCM na ataendelea kukubalika na wana-CCM hata akiwa nje ya CCM.

Hapa kaua ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Back
Top Bottom