Lowassa anajivunia mtaji wa watanzania kwa maana asilimia kubwa wanaona huyu ndo suluhisho lao kwaiyo wala msione vibaya watanzania wanavyomuunga mkono,Hii ndo safari ya matumaini inabidi tuikubali na kuipokea kwa mikono miwili
Sahivi anachokifanya yeye ni kuendelea na kampeni kwa kisingizio cha kusaka wadhamini na anafanya hivi ili kukitisha chama chake yeye ndo anapendwa ila mbinu yake ni ya kitoto sana.
Kunapokuwa na kiwango cha chini bila kuwa na uthibiti inamaanisha watachukua idadi yeyote. Hiyo ni kuzingatia mwanachama mmoja hadhamini mgombea zaidi ya mmoja. Tatizo na Nape ni chuki binafsi ingawa SG naye hatoi ufafanuzi Nape anapochafua hali ya hewa. Pia wagombea sio wajinga kwani wote wanawadhamini zaidi ya 450.
Kwa ujumla ktk hili Nape (kama kweli amesema) kakosea sana.
Sahivi anachokifanya yeye ni kuendelea na kampeni kwa kisingizio cha kusaka wadhamini na anafanya hivi ili kukitisha chama chake yeye ndo anapendwa ila mbinu yake ni ya kitoto sana.
Ww CCM wa wapi...!? Hatutaki mamluki...!! Lowassa ndio rais ajaye
..ww ni CDM, unapima upepo wa CCM...!!? UKAWA jiandaeni kisaikolojia...anakuja mzee wa maamuzi magumu...!!!
Sisi tunahitaji 450 hao wengine atarudi nao.Huo ni uvunifu wa kanuni za chama chetu siku zote wavunjifu wa kanuni dawa yao ni moja tu.........Jina lake halifiki hata kamati kuu ya chama litakatwa kabla na kamati ya maadili chini ya Makamu wa mwenyekiti wa chama Bwana Mangula.
Sahivi anachokifanya yeye ni kuendelea na kampeni kwa kisingizio cha kusaka wadhamini na anafanya hivi ili kukitisha chama chake yeye ndo anapendwa ila mbinu yake ni ya kitoto sana.
Sasa atapataje wadhamini? Tueleweshe ili isiwe kampeni atumie njia ipi? Eleza afanyeje kusaka wadhamini ili nasi tuone tofauti ya kampeni na kusaka wadhamini.