kikwete namkubali sana na haitotokea rais mjanja kama kikwete bila shaka katika ugombea atapitishwa mwanaume,Membe ni swahiba mkubwa wa kikwete na shemejie kwa hyo hawezi kumuangusha wala kumkera kera katika utawala wake,January ni kijana kalelewa na kikwete kisiasa,magufuli ni mfanyakazi mtiifu sana kwa kikwete kuliko waziri yeyote yule ukitaka kuthibitisha fatilia mazungumzo yake tu utajua,Migiro Kuna jambo mpaka akachaguliwa kuwa mbunge na hatimae waziri Yaani kikwete jembe nakukubali sana.