Edward Lowassa special thread

Masiki vijimbwa vyake vilivyokuwa vinabweka bweka na kung'aka hapa vyoote vimerudisha mikia kwenye makalio huku vikijilamba lamba midomo kwa kupokonywa ulaji!!!
Kesho vitahamia chaka jingine... vindorooobo vimetumwa helaaaaa!!!

Vimbwa vimegeuka paka.... Kweli CCM ni zaidi ya lowasa.
 
Lowasa issue zake za kifisadi zinajulikana mpaka nje ya nchi CCM sio vichaaa wamchague hili lilijulikana toka mwanzo
 
jiandaeni ccm kuondoka kumkata anaekubalika sasa ukawa kazi kwenu kura zetu zote kwa ukawa

tena huyo magufuli ndio kwa herii
 
Tupa kuleee mzoga
 
Masiki vijimbwa vyake vilivyokuwa vinabweka bweka na kung'aka hapa vyoote vimerudisha mikia kwenye makalio huku vikijilamba lamba midomo kwa kupokonywa ulaji!!!
Kesho vitahamia chaka jingine... vindorooobo vimetumwa helaaaaa!!!

Teh tehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…