Edward Lowassa special thread


Faili la chenge liko kwa wananchi na lowasa liko kwa shetani.Watanzania tuko wengi lowasa akawatumikie wanao mtuma sio sis
 
Kuna thread humu inazungumzia jinsi Edward Lowasa alivyoiba pesa za kujenga nyumba ya ofisi ya TANU mkoa Arusha, wakati huo akiwa Katibu Msaidizi Mtendaji wa TANU/CCM mkoa wa Arusha (1977-79), badala yake alijenga nyumba yake binafsi (m/magumu).
 
Mh. Lowasa aamua kurudisha fedha za Richmonduli kwa watu wa Mtama jimbon kwa mpinzani wake kwenye mbio za nafasi ya kugombea urtoa kupitia CCM Mh. Bernard Membe. Timu ya Lowasa ilifika Mtama tangu jumamosi ikiongozwa na Diwani wa Kigamboni ambaye ni mwanasoka wa Zaman ambapo aligawa bahasha za A4 kwa watu wake baadhi na ndani ya hizo bahasha kuna fomu za udhamini na pesa.
Kuna makundi mawili ambayo yataneemeka na pesa hizo ambao ni wadhamini na madereva bodaboda, kwa Upande wa wadhamini kuna makundi mawili wazee ambao watapata pesa Kati sh. 20,000/= mpaka sh. 30,000/= na kundi la pili ni vijana ambao watapata pesa kati sh. 30,000/= mpaka sh. 50,000/=.Na kwa upande wa madereva bodaboda watapatiwa Lita 10 za petrol na pesa sh.10,000/= na mpaka sasa hiv wameshapatikana vijana 48 kutoka maeneo Nyangamara, Nahukahuka, Nyangao, Nyengedi, Kiwalala na Mtama penyewe. Hakuna namna ngoja tule tu hiz pesa tutakutana October 25 kwenye sanduku la Kura.
Jambo la kushangaza uongozi wa Chama chake wa eneo husika hauna za taarifa za ugeni wa Lowasa Siku ya Jumatano.
 
watanzani wenzangu ama kwel nimekubal ss ni mabingwa wa kusahau. yaan methal zote kitaan za uchafu. wiz, uporaj wa mal ya uma tena dhahir shair. lakn leo "et hausk wanamsingizia" ok, sasa naomba tumuulize wiz ule ulikuwa wa nan? na kwa nn yey alkubal kubeba lawama? na pia anae mficha mwiz na yy mwiz? hakika hana cha kubisha! naomba kambi lowasa mnisaidie ili na mm ni waze upya.
 
Lowassa atawanunua watu hadi lini? Huyu mtu hafai hata kuendelea kuwa mtanzania. Kama ana hela akagombee Urais Marekani na akina Jeb Bush. Atalia na kusaga meno kati ya Julai na Disemba mwaka huu.
 
Hebu tupe mchanganuo WA huo wizi.Sishabikii Lowasa,lakini Ni vema mtu akahukumiwa kwa haki
 
sijaona bado ndani ya CCM mtu mwenye weledi wakutosha kama mamvi. inabidi tukubaliane na ilon
 

Ina maana unauliza kwamba ule wizi ulikuwa ni wa nani, hujui au unajivika miwani ya mbao. Kama hujui, maadam umekuwa mvumilivu kwa kipindi chote hicho, subiri baada ya October ndipo utakapojua hata bila kujulishwa.
 

We team gani??
 
Edward Lowassa is still the man to be beat in this coming elections both inside and outside CCM.
Ever since he resigned from the government Lowassa's name has remained the most talked about name in political sphere.
He's managed to scoop a lead a lead in all presidential Opinion polls so far announced.
Recently a survey done by his is own party CCM indicated he is the most preferred candidate and popular both in and outside CCM.
The recent remarks by the party chairman cautioning the party delegates to elect a candidate who is electable and popular among wananchi served a great blow to his competitors who are still lagging far behind.

Among all the candidates its only Lowassa who has managed to pull a crowd and has managed so far to garner a good number of sponsors on the ongoing exercise.

My take:

THE WRITNGS ARE ON THE WALL FOR EVERYONE TO SEE.
 
Walio tayari kuchomeka mirija wanafurahi angalia asije akawazuie kuiba akawa anaiba yeye tu ikawa shida mafuriko
 
If God say YES, Nobody can say No! Edward Ngoyai Lowassa is the next Tanzania President.
 
Shida ni reason very narrow minded people thinks a president can remove poverty, hachezi mbali na ilani kwani hatuna katiba.Na rundo la vibaka nyuma, muhimu ni kunwomba Allah atupe kiongozi wa kufuata hiyo ilani fake kama kawa na asiwe na mikundi ambayo ni ngumu kumpata.Africa mother Africa your people doesn't have the capability to think only emotions help them. Take care mother Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…