Waliodai ww ni msomali hawakukosea, unatumia kiswahili cha kununua!
Lowassa ni fisadi hawezi kuwa Rais wa Tanzania....hata km hakuna ushahidi wa moja kwa moja, ile kutuhumiwa tu tayari ana-disqualify kuwa kiongozi wa umma!😎

Sio kutuhumiwa tu kaka, kamati teule ya Bunge ikiongozwa na Dr. Mwakyembe ilimbaini kuwa anahusika katika kashfa ya Richmond na mwenyewe kwa aibu aliamua kujiuzuru uwaziri mkuu.
Ni kulindana tu ndio maana Serikali haikumfikisha mahakamani.
Wanaomshabikia leo hii ni watu ambao hawajitambui lakini pia wanapotoshwa na media coverage anayopewa
Kweli mkuu, NAWAKUBALI KWA SIASA ZA FITINA....toka enzi ya salim....Nimeona ile picha iliyotengenezwa ya yule mgombea anayetaka kudili na vibaka wa CCM.
Afu naona mnavyofitini itv kujitahid kurusha habari zenu kwa sana...
Nawakubali kwa fitna...
Biblia inasema katika Amosi 3:3 - "Je, watu wawili waweza kutembea pamoja wasipokuwa wamepatana?" Je, Lowasa aweza kutembea na mafisadi asipokuwa fisadi?
Kweli mkuu, NAWAKUBALI KWA SIASA ZA FITINA....toka enzi ya salim....Nimeona ile picha iliyotengenezwa ya yule mgombea anayetaka kudili na vibaka wa CCM.
Afu naona mnavyofitini itv kujitahid kurusha habari zenu kwa sana...
Nawakubali kwa fitna...
Layoni usipende kuwasemea watu hatujakutuma hivi kwa upeo wako mdogo lowassa ni makini ktk lipi? Awamu
zote za uongozi yupo umakini alioufanya mpaka mnaona anafaa ni wa RICHMOND hebu tumieni akili zenu japo kidogo Nyerere alimfafanua huyu jamaa haya AFYA ya Mkuu ni kama ya Muhamad Alli yule Bondia jamani