Kama topic hapo juu inavyojitanabaisha. Kwa sasa kila sehemu hapa Tanzania ni Lowassa tu. Ujio wa tumaini la watanzania!
Tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM, Lowassa hutajwa kwa sasa hivi everywhere, kuanzia ngazi ya familia, daladala, usafiri binafsi, maofisini, mashambani na kote, Lowassa anatajwa sana.
Hapo ndipo inapodhihiri kwamba, kweli Lowassa ni tumaini jipya la watanzania!
Ahsanteni sana Lowassians