mzalendo-wa-tz
JF-Expert Member
- Dec 15, 2014
- 404
- 187
Lowasa rais pacha wake chenge waziri mkuu
Hii safu naikubali sana
ama kweli wewe nae zero
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi. Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa yanayojili tangu sasa mpaka magogoni.
Nashangaa sana wanao sema Lowasa anafaa kuwa rais,sijawahi kumsikia hata akiongea.Mmejuaje kuwa anafaa? Kiongozi unampima kwa maongezi yake(bungeni,mikutano ya hadhara n.k) nyie lowasa mmempima vip hadi muone kuwa anaweza
Mwambie mh lowasa tayari magogoni ni yake hata iweje!,pamoja sana
poleni sana vijana msalimie Irene ndauka
SAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi. Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa yanayojili tangu sasa mpaka magogoni.
Tumaini kwenu kwa nyie mliyofanywa vipofuKama topic hapo juu inavyojitanabaisha. Kwa sasa kila sehemu hapa Tanzania ni Lowassa tu. Ujio wa tumaini la watanzania!
Tofauti na wagombea wengine ndani ya CCM, Lowassa hutajwa kwa sasa hivi everywhere, kuanzia ngazi ya familia, daladala, usafiri binafsi, maofisini, mashambani na kote, Lowassa anatajwa sana.
Hapo ndipo inapodhihiri kwamba, kweli Lowassa ni tumaini jipya la watanzania!
Ahsanteni sana Lowassians
Safari ya Matumaini Hewa Imewadia,
Haya mambo ya kumtumainia binadamu mwenzako ndio yalitu-cost for 10years now.
Nashangaa sana wanao sema Lowasa anafaa kuwa rais,sijawahi kumsikia hata akiongea.Mmejuaje kuwa anafaa? Kiongozi unampima kwa maongezi yake(bungeni,mikutano ya hadhara n.k) nyie lowasa mmempima vip hadi muone kuwa anaweza
hiu inawezekana Tanzania tu mwizi ndo anapendwaSAFARI ya matumaini kuelekea ikulu imewadia. Tulianza pamoja kwa umoja na tutamaliza pamoja kwa umoja. Tumaini letu ni kwa mgombea mwenye maamuzi. Njoooni hapa wana LOWASSA tupeane update kwa yanayojili tangu sasa mpaka magogoni.
lowasa mimi ntakupa kura ukiniambia umeacha wizi.