Mtoto unauza sana kabaang, muongo, mmbea mkubwa kama Mpora wake za watu, bossi wako Slaa...!!
Unahangaika na wanaume wa CCM, sisi hatutakiz makombo, we never sleep with harlots..!!! ENDELEA KUUZA HUKO CDM, koma kushobokea wanaume wa CCM, nungayembe..!!!
Leo Lowassa kapata wadhamini 120,338 Arusha... mtakoma, ndio moto unazidi kuwaka...!!
Anatafuta kila mbinu kuishawishi kamati kuu isikate jina lakeMmmmhhh...Ama kweli...!!!
Sina la kusema, mafuriko kweli kweli...!!!
Arusha leo, Lowassa atapa wadhamini 120,338 ikiwa ni record mpya kabisa, ya wadhamini wengi sana, ama kweli, NYUMBANI NI NYUMBANI...!!!
Bravo Wana CCM, bravo Watanzania...
Hii Ndossy ndio kwanza naiona leo
Edward Lowassa Ndossy
Atafuta kila mbinu kuishawishi kamati kuu isikate jina lake
Wa kununua hao karibia wote.
Hii Ndossy ndio kwanza naiona leo
atapa-atapataMmmmhhh...Ama kweli...!!!
Sina la kusema, mafuriko kweli kweli...!!!
Arusha leo, Lowassa atapa wadhamini 120,338 ikiwa ni record mpya kabisa, ya wadhamini wengi sana, ama kweli, NYUMBANI NI NYUMBANI...!!!
Bravo Wana CCM, bravo Watanzania...
hapo kwenye red Mamvi nyumbani kwake ni monduli .Jimbo la Arusha mbunge wake ni mbunge wa CHADEMA .God blless Lema.Mmmmhhh...Ama kweli...!!!
Sina la kusema, mafuriko kweli kweli...!!!
Arusha leo, Lowassa atapa wadhamini 120,338 ikiwa ni record mpya kabisa, ya wadhamini wengi sana, ama kweli, NYUMBANI NI NYUMBANI ...!!!
Bravo Wana CCM, bravo Watanzania...
mbio za sakafuni huishia ukingoni hizi mbwembwe zina mwisho mamvi atazimia kwa preshaHuyu Jamaa ni King and master of Politics hapa Tz... hivi fikiria Arusha ni ngome kuu ya CDM... ila kwa Urais, kashajihakikishia anakomba wote... aisee huu mchezo EL anaujua...eeeh..!!