Edward Lowassa special thread

Anyway mimi ni team lowassa ila nasubir aseme neno ndo ili tujue mtazamo wake......!!!!

Tulia ....tafakari...itakusaidia.... .kuelewa kuwa ilikuwa safari ya matumaini yake, sio ninyi. Mngekuja kulia na kusaga meno. Mungu kaweka mkono wake kutuokoa.
 
Team Lowassa sasa ni wakati mka unganisha nguvu kumsupport Dk.slaa.
 
Tafadhali sana usishushe mbege na upuu.zi wa huyo mkosa adabu.

Mbege ilinyweka tangu enzi za mababu lakini haikuwahi kukosesha adabu. Huyo jamaa kavurugwa na viroba.

Teh teh teh.
Leo Mbege inasifiwa namna hii? Na chibuku itakuwaje sasa?
 
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu...kuna mfata mkumbo mmoja huku yupo taabani presha kama sio kisukari...hii yote kutokana na walio mtegemea kufeli kwa kishindo amekuwa na msongo wa mawazo toka juzi ...leo jion hali imekuwa mbaya

ANAOMBA USHAURI ATUMIE DAwa Gani ya kuondoa .msongo wa mawazo

Nawasilisha

#MstahikiMeya
 
Katika shughuli yoyote ile na hasa yenye kuleta matunda mazuri kamwe usijaribu kujiwekea % 100 kuwa itaenda kadiri ulivyopanga. Ni muhimu kujiwekea % fulani ya kufeli ili ikitokea umefeli, uweze kupokea matokeo na huwezi athilika kwa namna yoyote ile.
 
Hahahaha sasa anakuwaje na hali mbaya wakati aliambiwa kuwa safari ni ya matumaini na siyo ya uhakika, ndiyoo sasa safari imeishia hapo maana ajali imetokea inabidi akubali tu matokeo maana hamna namna sasa
 
Hebu tuwaangalie wale team L damu vigogo.

Visent,
Kange,
Mmama mmoja wa Singida
Mmama mmoja anaebebaga hela kwenye viroba,
Handsome boy mngoni,
Mmama mmoja anaejua kula chapati
Mkaka mmoja aliyehama jiji
Nani katika hawa ????
 
UKAWA
UKAWA, UKAWA, UKAWA, kutwa mara 3 hadi oktoba 25
 

Mwambie atumie Amitryiptyline itamsaidia....
 
Hivi Kapuya yuko wapi?! bado ana ndoto za kuwa waziri mkuu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…