Kipanya square
Member
- Jun 7, 2015
- 77
- 16
inakaa badoo upo usingizini mkuu.Mzee Mengi na ITV yake leo asubuhi naona kaweka Clip ya Baba wa Taifa akitahadharisha kuwa CCM isipomchagua mtu anaekubalika na wananchi italia machozi. Nataka kujua huyu mzee Mengi nae alikuwa team mamvi!
Kabisaaaaa!! Yaani kwa kilichoendelea kwa Lowassa kilinifanya niwe na hofu na vijana wa taifa hili kwakweli, hivi tutakuwa taifa la kesho hata lini, tunahitaji kuwa taifa la leo na tufanye maamuzi magumu for the sake of our nation sio kuangalia vijisenti unavyopewa leo vikakuziba ufahanu ukaiharibu kesho yako!!
Pole sana Lowasa na team yako.Pamoja na kutokuunga mkono,ila huruma imeniingia sana baada ya kusikia habari za kukatwa.Ningependa kujua kwa sasa mzee upo wapi na u hali gani?
Pole sana Lowasa na team yako.Pamoja na kutokuunga mkono,ila huruma imeniingia sana baada ya kusikia habari za kukatwa.Ningependa kujua kwa sasa mzee upo wapi na u hali gani?
Mmmh!....nimekuona mtani.....upo vzuri sana.....nimekuelewa....ila me kwa maCCM haya huwa sikai, napitaga tu.
Asubuh njema.
unaweza kuta yupo ikulu ndogo
2025 ni mbali sana majaliwa kufika ukoHuenda anakunywa chai na wale siokuwa na mfungo!
Siasa si fitna banaaa.., na kwa mwanasiasa mkomavu kama Lowassa jina lake kukatwa ni ajali tu ya kisiasa!
Majaaliwa 2025 kama atapenda kutangaza nia kwa mara nyingine tena.
Hahahaaaa!! Hebu usiniache mtani nisubiri twende wote, maana hii mi_ccm sijui nani aliiroga, hakuna hata mwenye unafuu.