TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 937
Hoja yenu dhaifu wananchi wameichoka hakuna atakaye kuelewa sikuhizi ukisema LOWASSA ni fisadi. Pia tumeanzisha uzi huu tutiane moyo, tuufaamishe UMMA wa JF na watanzania kwa ujumla kwamba E.L ni nani hasa cha kushangaza unaingia kichwa kichwa na point zako dhaifu....bhahahahaaaaa hii inafaa kuitwa mafisadi supporters special junction....
mmeizoea hii nchi eti?? tena msituchanganye
upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCMMaadam anatoka chama tawala tunaamini hakuna jipya