MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
''Muziki'' wa Mrema ulikuwa hatari mpaka CCM wakaamua kumuomba Mwl. Nyerere awasaidie katika kampeni.Kinana aliwaambia watu Lowassa ni mwepesi sana kuliko Mrema wa 1995.
Tofauti yake na Mrema ni kuwa yeye alihamia Chama kilichokwisha kujijenga na kilikuwa na Mtandao Nchi Nzima hivyo alipata huo mteremko, wakat Mrema alihamia Chama kidogo akakipa umaarufu na akafikisha 26% Tena bila ya Fedha za kifisadi na Watanzania wengi wakiwa hawajaamka na hata upatikanaji wa habari zake ulikuwa na urasimu sana Hapakuwa hata na simu
Ngoyai angejiunga let say PPT Maendeleo hata 15% asingefikisha
Kura alizoleta Chadema ni chache kuliko alizokuta Chadema
dr.slaa alitaka mjiulize hilo swali kama ni asset au liability mwaka juzi mkamwita msaliti na kumfungulia mlango atoke.Mwanamikakati ni mtu ambaye ana uwezo mkubwa wa kupanga mikakati ambayo huzaa matokeo chanya.
Mwanasanaa ni mtu mwenye uwezo wa kutengeneza mazingira yanayovutia lakini ambayo hayana ukweli au uhalisia.
Mwaka 2010 alipewa kazi kuhakikisha Mkoa wa Arusha unabaki kuwa ngome ya CCM kwenye uchaguzi wa Madiwani na Ubunge lakini akapata ‘’kipigo cha mbwa’’ kutoka kwa Godbless Lema.
Mwaka 2012, CCM walimpa tena jukumu la mikakati na kusimamia Uchaguzi wa Arumeru Mashariki lakini akagaragazwa na kijana Joshua Nassari wa tiketi ya CHADEMA.
Mwaka 2015 akajitosa katika kinyang’anyiro cha kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM huku akitumia mbinu ya ''mafuriko ya wanachama'' kama nguzo yake lakini jina lake halikukatiza hata kwenye Kamati Kuu ya CCM.
Baada ya miezi michache, CHADEMA walimpa jukumu la kuwapeleka Ikulu lakini akaishia kulalamika kuwa ameibiwa kura wakati alisema wamwachie kazi ya kulinda kura.
Mwaka huu, CHADEMA wamempa kazi ya kuwanadi wagombea udiwani wa CHADEMA katika uchaguzi mdogo, matokeo yanaonyesha amefanikiwa kushinda mgombea mmoja kati ya 20 waliogombea.
Huyu ni Mwanamikakati au Msanii?
Huyu katika siasa ni assset au Liability?
Kinana aliwaambia watu Lowassa ni mwepesi sana kuliko Mrema wa 1995.
Tofauti yake na Mrema ni kuwa yeye alihamia Chama kilichokwisha kujijenga na kilikuwa na Mtandao Nchi Nzima hivyo alipata huo mteremko, wakat Mrema alihamia Chama kidogo akakipa umaarufu na akafikisha 26% Tena bila ya Fedha za kifisadi na Watanzania wengi wakiwa hawajaamka na hata upatikanaji wa habari zake ulikuwa na urasimu sana Hapakuwa hata na simu
Ngoyai angejiunga let say PPT Maendeleo hata 15% asingefikisha
Kura alizoleta Chadema ni chache kuliko alizokuta Chadema
''Muziki'' wa Mrema ulikuwa hatari mpaka CCM wakaamua kumuomba Mwl. Nyerere awasaidie katika kampeni.
Angalizo lako linabainisha Lowassa ni mwanasanaa.
Ninakubaliana na angalizo lako.
dr.slaa alitaka mjiulize hilo swali kama ni asset au liability mwaka juzi mkamwita msaliti na kumfungulia mlango atoke.
Sio lazima kila mtu awe rais Wa nchi hii tufike mahali tuwe wakweli Lowassa ilikuwa ni kete ya hatari sana kumpa nchi......
Mtu ambaye alishinda Makanisani na misikitini akitoa Rushwa na marafiki zake wakina Rostam Aziz ungetegemea nini kipya kutoka kwake?.............
Ni bora mabadiliko yacherewe lakini si kumpa mtu asiyeaminika kwa jamii.......
Wacha tusubiri mabadiliko ya kweli hata kama watayaona wajukuu zetu..........
Ni Fictitious Asset.Lowasa ndani ya chadema ni asset au Liability???
Hata mziki wa Lowasa ulimfanya mtu kupiga push up na Mzee wa miaka mingi kuhamia kanda ya ziwa kuhakikisha hadi kuwapiga watu vibao wale waliogoma kusaini matokeo kuwa wameshindwa ili hali wameshinda.''Muziki'' wa Mrema ulikuwa hatari mpaka CCM wakaamua kumuomba Mwl. Nyerere awasaidie katika kampeni.
Angalizo lako linabainisha Lowassa ni mwanasanaa.
Ninakubaliana na angalizo lako.
Mkuu umeandika maneno ya kizalendo haswa. Mwambie huyo mhudumu akuongezee kinywaji, muite pia dada wa jikoni na uagize ukitakacho, bili ya kwangu.Sio lazima kila mtu awe rais Wa nchi hii tufike mahali tuwe wakweli Lowassa ilikuwa ni kete ya hatari sana kumpa nchi......
Mtu ambaye alishinda Makanisani na misikitini akitoa Rushwa na marafiki zake wakina Rostam Aziz ungetegemea nini kipya kutoka kwake?.............
Ni bora mabadiliko yachelewe lakini si kumpa mtu asiyeaminika kwa jamii.......
Wacha tusubiri mabadiliko ya kweli hata kama watayaona wajukuu zetu..........
Point noticedKinana aliwaambia watu Lowassa ni mwepesi sana kuliko Mrema wa 1995.