Edward Lowassa ndani ya ITV saa 3 usiku leo

Mkuu Molemo shukurani kwa taarifa. Ngoja nijiandae kumwangalia Rais wa moyo wako akizungumza
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kwa taarifa. Tanesco nao wamepata habari sitoshangaa wakikata umeme Nchi nzima

Tanesco tafadhali muogopeni Mungu aliyewaumba. Kumbuka mtatoa hesabu siku moja mbele za Mungu mkuu, siku ile roho itakapotengana na miili yenu. Please tendeni haki na Mungu mkuu atawabariki.
 
Tanesco tafadhali muogopeni Mungu aliyewaumba. Kumbuka mtatoa hesabu siku moja mbele za Mungu mkuu, siku ile roho itakapotengana na miili yenu. Please tendeni haki na Mungu mkuu atawabariki.

Tovuti ya chama chenu c ipo online
 
chichiemu hawana adabu eti lowasa ndo nani ,lowasa waziri mkuu mstaafu ww hata udiwani tu huja wahi.
 
Lowassa fundi wa Siasa! CCM mtaisoma namba mwaka huu.
 
chichiemu hawana adabu eti lowasa ndo nani ,lowasa waziri mkuu mstaafu ww hata udiwani tu huja wahi.

Ni jiizi lililo pigwa mateke na kusukumiziwa nje baada ya ukosefu wa nidhamu kudowea mpaka sadaka
 
Asante sana kwa taarifa. Tanesco nao wamepata habari sitoshangaa wakikata umeme Nchi nzima

Hawachelewi kusema laini ya kupeleka umeme Zanzibar iliharibika na kusababisha grid ya taifa nayo kukosa umeme na kama ujuavyo mikoa yote kasoro Kagera imeunganishwa grid ya taifa ila tunashukuru tatizo hilo tumelimaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…