Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Yani mtu awe mwizi kwa makusudi kabisa halafu anasali anamwabudu mungu gani labda kama anaabudu miungu.Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.
Source: RFA-Magazetini leo
Kweli kabisa Mkuu.Lowassa ndiye mwana ccm pekee mwenye dhamira ya dhati ya kuwa rais wa Tanzania..
Huyu ni mgombea mchamungu ndomana kila alifanyalo humtanguliza mungu mbele
Tehetehetehetehe. Fisadi toka lini akawafikiria maskini?anayesema akiwa rais mfu atafurah.. aende hukohuko kwa wafu wampigie kura! hatumtafuti rais wa kufurahisha wafu! tunamtaka rais mwenye ari, shauku, morali wa kupambana na anayeuchukia umasikin kwa dhat kabisa...! tunataka kuanza mchakamchaka wa maendeleo ! !!
Jamani jamani. Hivi mbona mnaendelea kuongelea hawa watu? Kila kukicha ni Membe, Lowasa. Hawa wote hawafai kabisa kwenye nafasi ya urais. Tunataka Rais wa kutuunganisha Watanzania na si kutugawamembe kajiabisha imani zote za dini zinapinga kusali au kuomba kitu kotoka kwenye kaburi.sasa anapiga goti kwenye kaburi kuongea na mfu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada hafai kuwa rais hata ubunge hafai
Hata asali vioi hawezi kuupata Urais. Mingu amemlaani kwa kumnyonyoa nwele Dr Mwakyembe pamoja na ufisadi aliofanya na anaoendelea kuufanya. Huwezi kutegemea huruma ya Mungu ilhali Mungu huyo huyo unazidi kumchefua kila kukicha
Jamani jamani. Hivi mbona mnaendelea kuongelea hawa watu? Kila kukicha ni Membe, Lowasa. Hawa wote hawafai kabisa kwenye nafasi ya urais. Tunataka Rais wa kutuunganisha Watanzania na si kutugawa
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.
dah lowasa ndiye jembe