Ukiwa mwanachama wa CCM sikuzote huwazi kwa kutumia akili.
sikutegemea kabisa kama Ole Sendeka na yeye angetumia makalio kwenye hili sakata la Lowassalism[/QUOTE Acha kuwaza kama kunguru , wana CCM hawako hivyo ufikiriavyo wewe mfuasi wa chama cha mgambo,aliyekwambia ndani ya CCM kuna makundi ni nani?unavumisha maneno ili kuwavuruga wana CCM,sikia siku zote wana CCM ni wamoja na hiyo ndiyo siri yao ya mafanikio na ushindi,safi sana wana CCM kwa umoja na mshikamano mlionao hakika ushindi unakuja,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!
RED - That is the big point.Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee
Usiwape moyo, 2015 hata kwa kuiba haitawezekana.................. Huoni ni jinsi gani hasira zinavyowapanda ukitamka anguko Arumeru!! Kwa sasaCCM wanapiga mateke kama ya punda anayekufa!!!
huenda ni sifa mojawapo ya kuwa nayo kabla hujapewa kadi ya uanachama
Kweli kabisa. na kaamua kumtumikia kafiri ili ajipatie mtaji wakeameshasoma alama za nyakati!!
CCM ni chama chenye sera nzuri,zinazoeleweka na kutekelezeka hii ndiyo siri ya ushindi na mafanikio yao siku zote hawana sera za majitaka kama chadema,wamezoea uzushi,uongo,uchonganishi,majungu,mipasho,matusi,lawama wawapo majukwaani badala ya kunadi sera zao,watanzania hawapendezwi na tabia hiyo ndiyo maana baada ya kuwagundua wanawanyima kura!
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.
Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.
Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.
nani kama Lowassa???
Mkuu hawa jamaa kuwa ccm ni moja tuWatu wengine bana Ole Sendeka ni CCM wewe unataka ampigie kampeni mgombe wa Chadema ni sawa sawa umwambie Slaa ampigie kampeni mgombea wa TLP Arumeru.
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.
Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.
Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.
nani kama Lowassa???
Of course, njaa mbaya sana!?!ameshasoma alama za nyakati!!
Kwani yeye hamuoni Mwakyembe.
wewe pia ni ubwabwa wa loasa.lazima mtetee mumeo.ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa ccm siyo za lowasa. Mbona chadema kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la zito. Dr slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema bwana mkbwa mbowee