Ndefu na bado inaendelea ukurasa mwingine, uwezo wake wa kujenga hoja kwa siku za karibuni unanipa mashaka kama kaandika mwenyewe!
acha dharau kwni wajua fika yeye si mwongeaji sana ni vitendo tu.
sijasema hana uwezo wa kutenda mkuu, uwezo wa kujenga hoja. Kama umemsikiliza utaungana nami..
Ndefu na bado inaendelea ukurasa mwingine, uwezo wake wa kujenga hoja kwa siku za karibuni unanipa mashaka kama kaandika mwenyewe!
Nimeota lowassa yupo ikulu
mkuu lowassa anabusara na hekima sana ndio mtu anafaa kuwa rais. Kumbuka ikulu hakuna viwanja vya mazoezi ya kukimbia wala zege ya kubeba
Vipi kura ulipiga?Nimeota lowassa yupo ikulu
Lowassa you need to prove to thinkers that you are not a Fisadi as allegations are continuing encumbering your name and destroying your integrity day after day.
Lowassa, you have failed despite repeated demands to address said allegations but wantonly disregard them as abortive. It is hard if not impossible to trust a person with such behavior of dismiss syndrome.
Please, Lowassa, prove to us that the allegations encumbering you are frivolous by giving us impeccable evidence which are pristine.