Zoezi la mgambo na wamachinga kariakoo limeishia wapi?
sakata la madereva wakasome limeishia wapi?
Wafanyabiashara na mashine za TRA zimeishia wapi?
Bodaboda kuingia mjini limeishia wapi?
Vyote kimya...sasa ngoja uchaguzi upite halafu CCM warudi uone moto itakuwa mara 10 ya vile...
Chagua UKAWA kwa mabadiliko....✌✌