Edward Lowassa, moto wa kuotea mbali. Hii namba haishikiki.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,039
2,000
Jamaa kwakua alijua kua uchaguzi mkuu 2015 lolote laweza kutokea(kushinda au kushindwa), kaamua kukiacha kikosi chake ndani ya CCM ili kiendelee kupambana kikiwa kulekule, alijua angeondoka nao kama aset aliyoisemea Dr asingeweza kupata kinachojiri kule kunako mahasimu.

Vijana sasa wanachapa kazi hawana mchezo,wanazo data za kutosha na hata wengine ni viongozi wakamati za bunge tena ngazi za juu.Kila walichonacho wakikizungumza ndio ukweli wenyewe, Mzee ameishi ndani ya kile chama muda mrefu hakuona haja ya kuondoka na kikosi chake bali atakitumia kujenga ng'ome mpya aliko hivi sasa.

Wanaomwita kua mzee wa maagizo sasa ngoja wapigishwe kwata,na kwata itapigwa kweli kweli tusubiri muda utasema.

Kwa bahatimbaya sana Mwenyekiti wa sasa wa Chama kuu hazijui timing za mkongwe huyu fundi wa mamebenchi ya siasa za bongo, haya alikua anayajua kucheza nayo vizuri mwenyekiti mstaafu JK kwakua enzi zao walipikwa chungu kimoja.
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
14,976

badala ya kuchunga Ng'ombe huko handeni,anaingia kuchunga wabunge ukumbi wa bunge....bure kabisa.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
46,952
2,000
badala ya kuchunga Ng'ombe huko handeni,anaingia kuchunga wabunge ukumbi wa bunge....bure kabisa.
Acha umbeaaa fanya yako.....kama weee umekosa na unajuaaa hauta Pata nafasi ya kuingia bungeni pole sana ......we endelea kusugua gaga hapo lumumba

OVA
 
Top Bottom