Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
53,659
120,291
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh. Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh. Sumaye, wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasa.

Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati. Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma, kina nani wanahusika na kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.

Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.
 
Lowassa is finished!

Kwa sasa yupo kwenye mapito ya kisiasa ambayo ameyapitia Augustino Mrema.

Mwezi uliopita Jijini Mwanza wakati wa Mkutano wa hadhara wa kumtambulisha Katibu Mkuu, Dk. Mashinji , aliwashangaza wananchi alipoanza kuwauliza kama wamemsahau. Alitegemea tena vijana watadeki barabara anayopita.

Kama ilivyo kwa Mrema, kuna uwezekano huko mbele ya safari ya kisiasa hata udiwani utakuwa ni vigumu kuupata!
 
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh.Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh.Sumaye,wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasi.Taarifa hizo zimeistua serikali,bunge na kuhaha kutafuta siri ya ujio huo ikiwa pamoja na kuona umuhimu wa kuhujumu.Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati.Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.
Kijana weka akiba ya maneno,nina hakika hutakuja kutupa mrejesho...hawatakuwa na jipya.
 
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh.Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh.Sumaye,wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasi.Taarifa hizo zimeistua serikali,bunge na kuhaha kutafuta siri ya ujio huo ikiwa pamoja na kuona umuhimu wa kuhujumu.Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati.Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma,kina nani wanahusika na kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.
Tunawaombea hao viongozi wetu safari zenye mafanikio na kufika salama mjini dodoma ili wafanikishe makusudio ya safari yao
 
Aliyekuwa mgombea wa urais wa UKAWA Mh.Edward Lowasa na mwanamkakati wake waziri mkuu mstaafu Mh.Sumaye,wanatarajiwa kutua Dodoma leo kwa shughuli maalum ya kisiasi.Taarifa hizo zimeistua serikali,bunge na kuhaha kutafuta siri ya ujio huo ikiwa pamoja na kuona umuhimu wa kuhujumu.Taarifa za awali zinasema watakutana na wabunge wa UKAWA kimkakati.Tetesi zinasema kuwa Lowasa ataweka wazi "facts" kwa umma,kina nani wanahusika na kwa nini Bunge halionyeshwi live na kuwataka wananchi kuchukua hatua.Ikumbukwe pia kuwa juzi kati CAG alitoa repoti yake na kuonyesha madudu ya serikali chini ya CCM huku akizivua nguo tawala ya awamu ya nne na awamu ya tano kwa kushindwa kusimamia matumizi ya rasilimali.
Ni maigizo tu ndugu,serekali haiwezi shituka na hayo,tunasonga mbele.watu tumeshaona nchi inavyoenda wasubili miaka kumi baadae,siku wasizozijua MUNGU ataamua nini ndizo wanazotakiwa kuzisubili
 
Eti "facts"

huyu jamaa akisema hili tegemea lile......usitegemee chochote kwa mtu mwenye uwezo wa kuzungumza dk 3 tu
 
Lowassa is finished!

Kwa sasa yupo kwenye mapito ya kisiasa ambayo ameyapitia Augustino Mrema.

Mwezi uliopita Jijini Mwanza wakati wa Mkutano wa hadhara wa kumtambulisha Katibu Mkuu, Dk. Mashinji , aliwashangaza wananchi alipoanza kuwauliza kama wamemsahau. Alitegemea tena vijana watadeki barabara anayopita.

Kuna uwezekano hata udiwani utakuwa ni vigumu kuupata!

Tuweke kumbukumbu sawa.
Mrema aliishia kuwa Naibu waziri mkuu

Lowasa alikuwa waziri mkuu.

Ulipaswa kusema kumtaja Wasira sio eddo
 
Nchi inaendeshwa kwa mipango c mijutano ya wapinzani. Bunge live futeni kwenyeakili zenu. Kama mnataka Bunge angalieni marudio TBC TAIFA USIKU.
 
Lowassa is finished!

Kwa sasa yupo kwenye mapito ya kisiasa ambayo ameyapitia Augustino Mrema.

Mwezi uliopita Jijini Mwanza wakati wa Mkutano wa hadhara wa kumtambulisha Katibu Mkuu, Dk. Mashinji , aliwashangaza wananchi alipoanza kuwauliza kama wamemsahau. Alitegemea tena vijana watadeki barabara anayopita.

Kuna uwezekano hata udiwani utakuwa ni vigumu kuupata!
Mbona km unapanic hv! Acha kuropoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom