Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

Hujamalizia mkuu Makene. Ziara ya mikoani itakapoanza wananchi wakae mkao wa TANESCCMCO. Gizaaaaa!!!!

Siku hizi mbili tatu tumeachiwa tumwone Magufuli anavyopiga tumba, na Kikwete anavyocheza na dansi na 'Vultures', huku nape akipiga gitaa bila utaalam, upigaji wa kiuanafunzi.

Tukaachiwa tuangalie nane nane. Wanaalikwa watu kusema yaliyofanywa na CCM.

UKAWA wakianza ziara tu....gizaaaaa! kweli bora CCM itoke tu.
 
Tukisema lowassa anasafirisha nyumbu kwenda kwenye mikutano yake mnabisha. Ona hapa sasa.

Kwa wale mliokalibu na tabata kesho saa mbili kamili gari litaanzia tabata magengeni kwenye office za chadema kupeleka watu buguruni nasafari zingine hivyo tukutane hapo na namba 0716854745 ndio utayoitumia kimaelezo... Tuma kwa kila magroup ya team lowassa na mwanachama wa chadema....

Kesho tuweke historia
 
Rubish...... Mtahaha sana. Ila kuanzia kesho Magufuli kupata coverage ndio asahau kabisa mpaka Oktoba hiyo.....
 
Niko napiga pasi gwanda langu tayari kwa kesho.

TUNAMAINI NA LOWASSA.


Swissme
 
Rubish...... Mtahaha sana. Ila kuanzia kesho Magufuli kupata coverage ndio asahau kabisa mpaka Oktoba hiyo.....

Magufuli anapata coverage kwa umma jana alikuwa Lindi leo yuko Mtwara kwa wapiga kura.wewe endelea kuwanywesha viroba baavichaa.
 
Back
Top Bottom