Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.
Kikao kilikuwa cha mama Lowassa au Lowassa?
Maskini Regina anajaribu kumfichia aibu mumewe. Unless anataka kuwa shadow president nashauri Lowassa ajitahidi kuongea mwenyewe.
Umefungua uzi mpya huku? Original version ya huo wimbo ulikua arusha wakati lowasa anaanza kampeni za kuchaguliwa ccm
Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!
Wewe utakuwa huijui Katiba ya JMT. Wapi pameainishwa kazi za First Lady???
Madame Regina mwenyewe kasema namwachia mume wangu atoe kiu yenu. Mbona tumeondoka na kiu yetu????
Queen Esther
"Mods msiunganishe wapendwa wangu, hii ni topic tofauti kabisa tafadhali"
Heshima kwenu wana JF.
Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAVICHA na kubaini jambo moja kubwa sana.
Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"
Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.
Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!
Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!!!!!!!!!! Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!!!!!! Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.
Naomba kuwasilisha.
Queen Esther
Mgeni rasmi alikuwa nani/Mhusika mkuu wa mkutano ni nani?