Aliwaitia nini wale kina mama kama siyo kuwapotezea tu muda. Kaongea kwa dakika tisa tu, tena hakuna cha maana alichozungumza shame on you mamvi
To be honest, CHADEMA wanatakiwa kufanyia kazi tatizo la speech kwa Lowassa, ni below normal....
Alichoongea live ndio hiyo kuomba wanawake wamtafutie kura,sasa bila kuingia ikulu hayo matatizo yaliyoainishwa pale atayafanyiaje kazi??Tangazo la mkutano alilolitoa Halima Mdee halikuwa linahusu Regina Lowassa anaenda kuongea kina Mama.
Lilikuwa la mshua mwenyewe na ikatangazwa kuwa ataongea na kina mama wa Tz live.
Hicho alichokiengea live ndo kinaangaliwa hapa.
kampeni na ilani yake zinafung
uliwa rasmi pale jangwani tarehe 29 mwez huu. hapo ndio atatoa mkakati wake. pale aliwaita kuomba tafu la akina mama kwenye kampeni zake. Msioelewa poleni mtaelewa. Kwani ilani yake umeisikia popote?
Mlizoea mgombea aludiludie mada iliyowekwa mezani. mkewe alishasema matatizo yote. sasa ulitaka na yeye aludie. WALISHAJIPANGA. Tatizo mmezoea nkampeni za kiccm mke wa mgombea anafichwa kapuni kwanza akifundishwa kuongea na mass. Pale milenium si ulimuona first lady mtarajiwa alivyojinadi kwa mambo ya kinamama. Ile ni kwa niaba ya Lowasa kama hujui
Bila shaka wahusika wanapaswa kulishughulikia hili swala kwa haraka iwezekanavyo maana muda ni mdogo sana.......sio tu kuwa raisi mtendaji pekee bali pia tunataka raisi muhamasishaji kwa maneno........kwa wanaharakati pia tuna amini kuwa maneno huishi..........Hapo kaka inabidi wahusika wapate ujumbe kwamba mgombea wao si muongeaji,na hawezi kushika hadira vyema.Kusema wa haki sijawahi kumsikia akiongea hata alipokuwa CCM zaidi ya kutoa ORDER tu.
Ccm huku jf mtaumia tuuu mana hakuna namna nyingine
Bila shaka wahusika wanapaswa kulishughulikia hili swala kwa haraka iwezekanavyo maana muda ni mdogo sana.......sio tu kuwa raisi mtendaji pekee bali pia tunataka raisi muhamasishaji kwa maneno........kwa wanaharakati pia tuna amini kuwa maneno huishi..........
Maspeech yangekuwa yanalipa tungekuwa mbali sana sasa hivi, maana toka CCM waanze kutusikilizisha hayo majitu jamani...!