Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Songea kupo tuli kabisa. Hakuna aliyeshtuka ujio wa huyo fisadiLizaboni please pokea mgeni wako huyo
Chadema kwisha habari yake!There we go
Nakupenda CHADEMA
Nahisi nahakama ya kifisadi ikianza kazi huyu jamaa lazima apelekwe. SI ndio eehSongea kupo tuli kabisa. Hakuna aliyeshtuka ujio wa huyo fisadi
Ajenge chama kwani anakijua?lowassa ananikosha sana anajenga chama vzur
mwaka wa pili saa hz kwann asikijue chama mbona magufuli uwenyekitiAjenge chama kwani anakijua?